Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mikwara ya kichaa cha dogi hiyo kama tu ile ya Mandongakaria jipange ndugu yangu, watu wako serious sana wanasema ukaombe hifadhi lugalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikwara ya kichaa cha dogi hiyo kama tu ile ya Mandongakaria jipange ndugu yangu, watu wako serious sana wanasema ukaombe hifadhi lugalo
Kiutaratibu yeye ndio anapaswa kufuata nakala na sio kuingojea nyumbani ama ofisini, hata mahakamani nakala hufuatwa na muhusika mahakamani na si kuletewa kwako, kama hana nakala akaifuate TFFUko sahihi mkuu. Lakini pia kutokuwa na nakala ya hukumu haimaanishi usitumikie adhabu bali nakala ya hukumu inakufanya tu ujue mwenendo wa shauri husika na namna ya kukata rufaa.
Mtu akihukumiwa kifungo anapelekwa jela kuanza kutumikia kifungo chake huku akisubiri nakala ya hukumu huko huko gerezani.
Hakuna excuse ya kufanya kosa ukiwa kifungoni kisa tu hujapata nakala ya hukumu.
Wewe ni miongoni mwa wanasheria waliohitimu juzi? Ni lini mfungwa akafuata hati ya hukumu? Kama hujui kitu ukikaa kimya utaonekana Una akili.Kiutaratibu yeye ndio anapaswa kufuata nakala na sio kuingojea nyumbani ama ofisini, hata mahakamani nakala hufuatwa na muhusika mahakamani na si kuletewa kwako, kama hana nakala akaifuate TFF
mnatishia nyauNaam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana
Kwa sasa Bugatti PWAGU limepata PWAGUZI wenzake huko utopoloni ni mwendo wa PIPA NA MFUNIKO yaani mserereko tu,matatizo ya sope takadini yanabebebwa na kukumbatiwa kwa ustadi mkubwa na taasisi hiyo
Angalia mwenyewe kwenye hii whatsapp group wanavyo discuss Karia na kumdhuru labda jeshi limfungie lugalo jeshin kwa usalama wake.
View attachment 2317741View attachment 2317742
nakala ya hukumu walipewa alhamisi tarehe 4 siku mbili kabla ya yanga day kilichofanyika ni makusudi ambayo wenyewe waliyaita supriseWewe ni miongoni mwa wanasheria waliohitimu juzi? Ni lini mfungwa akafuata hati ya hukumu? Kama hujui kitu ukikaa kimya utaonekana Una akili.
Niamini mimi wanachukulia huu ujinga poapoa sana, halafu sasa hao jamaa wanaojiita yanga whatsapp makao makuu chini ya moody kabwe , maskani yao ni palepale kaunda klabuni, Jingine umenishangaza kusema eti zeruzeru aji distance na hili suala hivi hujui hapo alipo ndipo anafurahia taasisi ya yanga kubeba ujinga wake?If Bugatti na viongozi don't do anything to distance themselves or condemn what is happening happening in social media, they will be liable to whatever will happen. Acheni uswahili and act professionally kupata heshima .
Ungekuwa na akili usingewaza jambo moja tu "KUFUNGWA" sio kila kesi ni criminal, bakishaga hata za kuvukia zebraWewe ni miongoni mwa wanasheria waliohitimu juzi? Ni lini mfungwa akafuata hati ya hukumu? Kama hujui kitu ukikaa kimya utaonekana Una akili.
Ina maana mtu akishitaki viongozi wa TFF mahakamani tunafungiwa kimataifa?Wakifungiwa Manara na Hersi waende mahakamani, ili tufungiwe ili wapate akili y akuongoza mpira kwa weledi sio kwa visasi
Achana na Kitu Ushabiki: kuna Mwaka TOT Band ya Marehem Kaptain Komba walimnunua Mpigaji Band ya Juwata Jazz wana Msondo Ngoma. Walimlipa mpaka pesa alizohitaji na akasaini mkataba kabisa (kumbuka Msondo awana mikataba) Wapenzi wa Dansi waliposikia kuwa Mwanamuziki wao next week atakuwa jukwaani na kina Khadija Kopa na Masambano- Waliamia nyumbani kwa Huyo Mwanamuziki wanabadilishana zamu! Ilibidi John Komba asamehe pesa na ata mkataba akaanchana nao😂Hmmh hao walala hoi Tz ndo wakumfanya Karia akaombe hifadhi Lugalo?
Hawawezi kwenda mahakamani, GSM amewekeza pesa nyingi ambazo bado hazijarudi.Wakifungiwa Manara na Hersi waende mahakamani, ili tufungiwe ili wapate akili y akuongoza mpira kwa weledi sio kwa visasi
ni vyema akaongeza ulinzi binafsi sababu utopolo hawajawahi kuwa na akili timamu, watamdhuru kweliNgoja tuone...