Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

Yanga mwenye akili ni Sunday manara na kikwete
Luc aymel alisema yanga ni manyani
Morrison akaseme yanga hawajasoma.

Hao ndio vinyesi fc
 
Watu wapo bize na dunia, huo muda wa kutazama mechi cjui kama wanakumbuka kuswali. Jahannam itasomba wengi sana.
 
Uko sahihi mkuu. Lakini pia kutokuwa na nakala ya hukumu haimaanishi usitumikie adhabu bali nakala ya hukumu inakufanya tu ujue mwenendo wa shauri husika na namna ya kukata rufaa.

Mtu akihukumiwa kifungo anapelekwa jela kuanza kutumikia kifungo chake huku akisubiri nakala ya hukumu huko huko gerezani.

Hakuna excuse ya kufanya kosa ukiwa kifungoni kisa tu hujapata nakala ya hukumu.
Kiutaratibu yeye ndio anapaswa kufuata nakala na sio kuingojea nyumbani ama ofisini, hata mahakamani nakala hufuatwa na muhusika mahakamani na si kuletewa kwako, kama hana nakala akaifuate TFF
 
Kiutaratibu yeye ndio anapaswa kufuata nakala na sio kuingojea nyumbani ama ofisini, hata mahakamani nakala hufuatwa na muhusika mahakamani na si kuletewa kwako, kama hana nakala akaifuate TFF
Wewe ni miongoni mwa wanasheria waliohitimu juzi? Ni lini mfungwa akafuata hati ya hukumu? Kama hujui kitu ukikaa kimya utaonekana Una akili.
 
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana

Kwa sasa Bugatti PWAGU limepata PWAGUZI wenzake huko utopoloni ni mwendo wa PIPA NA MFUNIKO yaani mserereko tu,matatizo ya sope takadini yanabebebwa na kukumbatiwa kwa ustadi mkubwa na taasisi hiyo

Angalia mwenyewe kwenye hii whatsapp group wanavyo discuss Karia na kumdhuru labda jeshi limfungie lugalo jeshin kwa usalama wake.

View attachment 2317741View attachment 2317742
mnatishia nyau
 
Wewe ni miongoni mwa wanasheria waliohitimu juzi? Ni lini mfungwa akafuata hati ya hukumu? Kama hujui kitu ukikaa kimya utaonekana Una akili.
nakala ya hukumu walipewa alhamisi tarehe 4 siku mbili kabla ya yanga day kilichofanyika ni makusudi ambayo wenyewe waliyaita suprise
 
If Bugatti na viongozi don't do anything to distance themselves or condemn what is happening happening in social media, they will be liable to whatever will happen. Acheni uswahili and act professionally kupata heshima .
 
Niamini mimi wanachukulia huu ujinga poapoa sana, halafu sasa hao jamaa wanaojiita yanga whatsapp makao makuu chini ya moody kabwe , maskani yao ni palepale kaunda klabuni, Jingine umenishangaza kusema eti zeruzeru aji distance na hili suala hivi hujui hapo alipo ndipo anafurahia taasisi ya yanga kubeba ujinga wake?
Mwaka jana alipopiga marufuku washabiki wa yanga kuingia mechi za simba za kimataifa simba wakamkana unajua aliumia kiasi gani?
 
Wabongo siunawajua vizuri mdomoni hawana mpinzani yaani hao hata rais wa ndondo hawamtishi itakuwa wa TFF
 
Wewe ni miongoni mwa wanasheria waliohitimu juzi? Ni lini mfungwa akafuata hati ya hukumu? Kama hujui kitu ukikaa kimya utaonekana Una akili.
Ungekuwa na akili usingewaza jambo moja tu "KUFUNGWA" sio kila kesi ni criminal, bakishaga hata za kuvukia zebra
 
Hii nchi inashida sana..
.
Yani watu wengi naona wamebase upande mmoja tu kuwa manara anamakosa. Tujifunze kubalance story, what if kama uchunguzi ukafanyka na ikaonekana karia ndo mwenye makosa au ndo itakuwa ile zana ya mkubwa hakosei...??
.
For now ilibidi wapenzi wa mpira tuwe katikati na sio kusema upande mmoja
 
Hmmh hao walala hoi Tz ndo wakumfanya Karia akaombe hifadhi Lugalo?
Achana na Kitu Ushabiki: kuna Mwaka TOT Band ya Marehem Kaptain Komba walimnunua Mpigaji Band ya Juwata Jazz wana Msondo Ngoma. Walimlipa mpaka pesa alizohitaji na akasaini mkataba kabisa (kumbuka Msondo awana mikataba) Wapenzi wa Dansi waliposikia kuwa Mwanamuziki wao next week atakuwa jukwaani na kina Khadija Kopa na Masambano- Waliamia nyumbani kwa Huyo Mwanamuziki wanabadilishana zamu! Ilibidi John Komba asamehe pesa na ata mkataba akaanchana nao😂
 
Wakifungiwa Manara na Hersi waende mahakamani, ili tufungiwe ili wapate akili y akuongoza mpira kwa weledi sio kwa visasi
Hawawezi kwenda mahakamani, GSM amewekeza pesa nyingi ambazo bado hazijarudi.
Vijana wengi mnaongea sana kishabiki(akiwemo injinia wenu) Ila mamb ya Mpira wa Tanzania hamjui.
 
Back
Top Bottom