WhatsApp imeanza kuweka mfumo wa Channels

Kwa nini telegram ni underdog kwenye social media mbali na hayo uliyoyataja , ?? Najua jibu unalo , ulimwengu wa sasa unahtaji vtu simple , hayo mambo ya BOTS too complicated Kwa watu wenye mambo mengi, kitu kilichovutia watu na kuifanya iwe popular ni ule uwezo wa kuhold watu wengi per once , ndo maana umekuwa mtandao maarufu Kwa maswala ya group za malaya n.k .....!! Yes leta feature mpya but iwe simple and friendly , Tiktok sio wajinga ,
Nakuapia ndani ya miaka mitatu ijayo Telegram ataiuza Kwa META ,
 
Ndio maana nikasema Telegram ni kama Email service platforms like Yahoo, Gmail, Outlook etc.. zipo complicated ila Unavoidable utazunguka wee ila utalazimika kuinstall service.

Telegram ipo hivyo. Ina tabia hiyo.

Na ndio Rival wa Whatsapp nashangaa unasema ni Underdog? Telegram haiwez kuuzwa kizembe hivyo. Ingeshauzwa siku nyingi.

Nakukumbusha Telegram sio ya vilaza. Ni watu intellectual asilimia kubwa wanatumia. na nikwbie tu Telegram haina mbambamba ktk matumizi hakuna hata siku moja iliwahi kuwa DOWN.. rejea funga funga ya Serikali kipindi cha uchaguzi TELEGRAM haikufungwa ilikuwa live 24/7. Rejea DDOS Attacks anazoface Meta hapo Whatsapp Telegram haijawah kupata hizo Attacks.

Telegram ana server kubwa mno.. ana security kubwa mno even customized Network protocols zake ukiset uingie kwa tunnel yako ipo very strong and secure..
Ni ka Darkweb flan hivi lowkey..
 
Yaan telegram imekuwa Mtandao wa Mashoga na Wauni
Your thoughts your words. Huko Kuna groups za career mbalimbali,mie vitabu vingi mno na lectures video na audio nimezipatia huko,yaani Kama wewe Ni wa kusaka maarifa Ni juu yako,Malaya Ni wewe tu, yaani hapa duniani kila mtu anapata aliwazalo. Your life is shaped from your thinking.
Nikikuambia Chacha ana dharau utaiona iyo dharau kwake pia nikimwambia mwingine kuwa chacha Hana dharau Basi hatuoina.
You believe then you see and you don't see then believe
 
Watu wa hivyo kuwaelewesha ni ngumu sana.

Telegram kuna free Books na Free courses za Udemy

Kuna Tutorials kibao for free

Kuna Movies za kutosha.. ingawa wakikuotea wanakuchapa Ban (Copyright).

Ila mtu anafungua link ya grp la ngono then anakuja ku generalize Telegram ni mtandao wa kihuni.

Turejee JF miaka mitatu nyuma kulikuw na lile Jukwaa letu pendwa la Mambo ya kikubwa lipo hidden kule. Huwez generalize kwamba JF nzima ina hayo mambo. Unapata unachotaka.
 
Whatsapp aliwahinkuingia mjini ila kwa features hawafikii telegram. Na itamchukua muda kumfikia kwa sababu yote anayo yaanzisha ni kama anakopi tu. Emoj tu za telegram zinaipiga whatsapp mbali sasa sijagusa mambo mengine
Ndo basi uelewe kuwa with time whatsapp itakuwa na kila kitu cha telegram na bado ataendelea mzidi watu
 
Universal is rich so you get what you need. Yaaani kila kitu kinakuja kwako ama kinaota kwenye maisha yako kulingana na your mental environmental.


Yaaani mind haina tofauti na udongo so ukiona mimea fulani inaota kwenye udongo wako elewa Ni zile soil chemicals, biologicals( uhai wa wadudu waliopo) na physical texture and colour and soil particles size composition ndio inayosapoti Aina ya mimea iyo kuota na ndio Mana magugu maji hayaoti jangwani na cactus haioti majini.
Akili kumkichwa jamani. Silaha Ni nzuri na Ni mbaya na pesa Ni mbaya na Ni nzuri,mke ama ndoa Ni nzuri ama mbaya,kila kitu kina Hasi na chanya ,Mungu na shetani,usiku na Giza,kiangazi na masika,mke na mme,uchoyo na ukarimu,uzuri na ubaya, it's up to your kuwa where do you allign your mental domains of magnet to attract what you desire,yaani you attract what you're not what you what you. If you want to paint like da Vinci first learn to think like him please. Hata haya niliyoandika wapo watakaon negative na ku critize and Wapo watakaona Positive wapo.
It isn't their fault or mistakes but because how they alligned their mental mindset to see or to that mind will show them what they want to see.
 

It's the other way round telegram wanaenda kupoteza Kila kitu.
 
Yaani wassap ni majinga majinga Sana, hawana mvuto halafu wanawaonea gela kina GB,FM,YO WASAAP kiasi Cha kutulamba makufuli tunaotumia.

Nimelazimika kurudi offcal wassap hapa natamani kutapika
 

Not necessarily Whatsapp 5B downloads. Telegram 1B downloads.

Telegram offers more ila Whatsapp haikwepeki kama maji. Unaweza kuwa na telegram peke yako ila circle yako yote from family to friends wapo Whatsapp utarudi tu.
 
Mimi nilikuwa nayo ila haikuwa muhimu kihivyo ,baada ya kurestore simu nilikunbuka app nyingi wasap ilikuwa ya kwanza .

Tupe faida zaidi kuhusu Telegram tatizo huenda ni kutokuwa na Elimu ya kutosha kuhusu Telegram.
 
Hii itakuwa nzuri sana kwa watumiaji wa wasap, asante sana.
 
Wasap ni maarufu sana na Ina watumiaji wengi kama vile Facebook ila ilikuwa haina mambo haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…