WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

WhatsApp inafanya majaribio ya kuweka sehemu ya kuzuia “Last Seen” isionekane kwa baadhi ya contacts

HAKUNA APP AMBAYO INAONGOZA KWA KUTOKUWA NA PRIVACY KAMA WHATSAPP APP
NIKITAKA KUKUHACK NI SEKUNDE 10 TU
 
Ndio uelewe pia ninavokuambia nishatrack sana simu yake...

Ukitrack simu ya mtu hata chats ambazo zipo Hidden utaziona.

Nishasikiliza sana simu zake na kusoma text zake ...

Unataka ushahidi gani mwingine?

Kwanini nimuhukumu kwenye vitu ambavyo sivioni?
Basi huyo hajui kama aliificha last seen.hajui chochote.
 
Wanaboresha ili iwe kwa baadhi ya watu tu, kuna watu ni viherehere unakuta anakufatilia hata saa 8 za usiku huko! Eti nimekuona online saa 8 usiku ila sms yangu hujaijibu!
Wewe ni mtu mzima hata akikufuatilia, yeye inamuhusu nini?
Mwambie atafute kazi za kufanya, anatakiwa ajue msimamo wako kuhusu online activity yako. Hata akikuona online, haimaanishi akituma sms ajibiwe.
 
😅😅😅😅😅😅 mkuu wabongo huwajui ww
 
Hao hawakuwa hata wapenzi wangu kabisa, hafu hujui watu wanavofatilia mambo ya watu. So why ufatilie mambo yangu mie ninayependa mambo yangu kwa Siri na ni utashi wangu.
Kwahyo toeni hyo wrong assumptions kuwa kuhide status ni uhuni au utapeli kitu ambacho si kweli kabisa heshimuni maamuzi ya wengine na msihusishe na tabia mbovu bana.
Ndio Yale Yale mtu alipost motivation quote kaachika, akipost vichekesho hayuko serious
Inawezekana wewe na hao watu wako mna akili za kitoto.

Inawezekana vipi mtu anaanza kukuuliza swali kama hilo? Manake wewe ni mtumwa kwake.
 
Kuna watu wakikuona wanaanza maneno muda wote uko online blabla kibao Basi unaamua kuficha muda wa mwisho kuonekana
Hio ndio ilinifanya niondoe hio kitu kwangu😅 hio hio kauli!

Mie internet ndio hobby yangu kwahio simu ndio gateway ya kutumia hio internet. Inapotokea mtu anani stalk huwa sipendi kelele i do the needful!
 
Kuna fala mmoja nilimuuliza kwa nini unaficha last seen! Umbwa yule akaniambia hataki boss wake ajue pale anapomuitaji! Moyoni nikasema nyooo! Boss my takle! Na vile nilikuwa sijampenda bahili kama nini! Hajui kuongea vizuri, hayuko romantic yaani utafikiri nachat na mjomba wangu, manina nikamuacha sasa hivi amebaki kuniona status na kunisifia nilivyonenepa nyoooo!
We binti una balaa😅 yani!
Nmejifunza machache katika hio post...
1.Unapenda kuhongwa
2.Kubebishwa
3. You are a control freak

Vipi kwa sasa ulienae ni sawa na mtoto wa bhakressa au ndio mnavumiliana tu😅 siku ziende?
 
Sure ,ogopa sana mfanyabiashara anayeficha last seen na read receipt na pia anayehide comment kwenye insta!! Yaani hapo akili kumkichwa ukilemaa unaachwa ferry.
Instagram watu wanaficha comment section ili kuepusha bad reviews na spana za waja
 
We binti una balaa😅 yani!
Nmejifunza machache katika hio post...
1.Unapenda kuhongwa
2.Kubebishwa
3. You are a control freak

Vipi kwa sasa ulienae ni sawa na mtoto wa bhakressa au ndio mnavumiliana tu😅 siku ziende?
Ndo ushanihukumu? Ukinijua utafuta post yako ila kwa kuwa ni ngumu wewe kunijua .wewe ni hukumu tu ila trust am a good lady.
 
Ndo ushanihukumu? Ukinijua utafuta post yako ila kwa kuwa ni ngumu wewe kunijua .wewe ni hukumu tu ila trust am a good lady.
Sijakuhukum bana nime analyse toka katika nilichokisoma hapo😅 usilie basi mtoto mzuri
 
Sijakuhukum bana nime analyse toka katika nilichokisoma hapo😅 usilie basi mtoto mzuri
Ni kweli mi hela napenda najua kuisaka! Tho siwezi iomba na siwezi date bahili maana mm mtoaji.kiasi uko sawa.mwanaume hana hela wa nini sasa?
 
Inawezekana wewe na hao watu wako mna akili za kitoto.

Inawezekana vipi mtu anaanza kukuuliza swali kama hilo? Manake wewe ni mtumwa kwake.
Watu wazima wa miaka arobaini waita watoto?
Anyway wewe mwenye akili za kiutu uzima unataka kupangia watu life style Yao huko ka sikuingilia mipaka na maamuzi ya watu nini?
 
Wewe ni mtu mzima hata akikufuatilia, yeye inamuhusu nini?
Mwambie atafute kazi za kufanya, anatakiwa ajue msimamo wako kuhusu online activity yako. Hata akikuona online, haimaanishi akituma sms ajibiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mgeni eeeh
 
Sio kosa kuhide au kushow ni maamuzi ya mtu na kila mtu ana reason za kufanya hivyo,hapa tunazungumzia % kubwa wanaofanya hivyo ni watu wa magumashi au kuna kitu wanakikimbia kwamfano wewe umesema inasaidia kupunguza watu wanaofatilia maisha ya watu wengine ila kuna wengine wanafanya hivyo kistrategy ya kukimbia lawama eg mbona umesoma meseji haujanibu ,mbona ulikuwa hewani hadi saa nane usiku ulikuwa unaangalia nini na vingine vinavyofanana na hivyo au wengine wanaweka hivyo ili ukimtumia meseji anakujibu sijafungua whatsapp siburi nikifungua nitakujibu kisha ndiyo imtoka hiyo na wewe hauwezi kujua kama kweli kasoma au hajasoma coz kahide read receipt itabidi uwe mpole sasa matapeli au wajanja wajanja wanatumia sana hiyo feature kuteleza.
Lakini ni vizuri kuheshimu options za wengine wavipendavyo sio vyema kuhukumu sana kwa kweli mfano Mimi honestly siko driven na opinions za watu ila nimeweka tu hyo option, na nikitaka kujibu na jibu na nisipotaka kitu ni big no.
 
Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?
Hivi read receipt ina kazi gani WhatsApp. Sorry mimi siyo mtumiaji sana wa mtandao wa WhatsApp.
 
Back
Top Bottom