stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Mkuu wafanyabiashara wanamna hio ujue hao ni malayaKuna mwingine hataki tu kuonekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wafanyabiashara wanamna hio ujue hao ni malayaKuna mwingine hataki tu kuonekana
Basi huyo hajui kama aliificha last seen.hajui chochote.Ndio uelewe pia ninavokuambia nishatrack sana simu yake...
Ukitrack simu ya mtu hata chats ambazo zipo Hidden utaziona.
Nishasikiliza sana simu zake na kusoma text zake ...
Unataka ushahidi gani mwingine?
Kwanini nimuhukumu kwenye vitu ambavyo sivioni?
Labda....Basi huyo hajui kama aliificha last seen.hajui chochote.
Wewe ni mtu mzima hata akikufuatilia, yeye inamuhusu nini?Wanaboresha ili iwe kwa baadhi ya watu tu, kuna watu ni viherehere unakuta anakufatilia hata saa 8 za usiku huko! Eti nimekuona online saa 8 usiku ila sms yangu hujaijibu!
😅😅😅😅😅😅 mkuu wabongo huwajui wwWewe ni mtu mzima hata akikufuatilia, yeye inamuhusu nini?
Mwambie atafute kazi za kufanya, anatakiwa ajue msimamo wako kuhusu online activity yako. Hata akikuona online, haimaanishi akituma sms ajibiwe.
Inawezekana wewe na hao watu wako mna akili za kitoto.Hao hawakuwa hata wapenzi wangu kabisa, hafu hujui watu wanavofatilia mambo ya watu. So why ufatilie mambo yangu mie ninayependa mambo yangu kwa Siri na ni utashi wangu.
Kwahyo toeni hyo wrong assumptions kuwa kuhide status ni uhuni au utapeli kitu ambacho si kweli kabisa heshimuni maamuzi ya wengine na msihusishe na tabia mbovu bana.
Ndio Yale Yale mtu alipost motivation quote kaachika, akipost vichekesho hayuko serious
Hio ndio ilinifanya niondoe hio kitu kwangu😅 hio hio kauli!Kuna watu wakikuona wanaanza maneno muda wote uko online blabla kibao Basi unaamua kuficha muda wa mwisho kuonekana
Kama privacy matters ungeondoka whattsap kabisa.Privacy matters tu watu wengi wanachukulia personal Ila hata walioweka hapo walikuwa na maana yao
We binti una balaa😅 yani!Kuna fala mmoja nilimuuliza kwa nini unaficha last seen! Umbwa yule akaniambia hataki boss wake ajue pale anapomuitaji! Moyoni nikasema nyooo! Boss my takle! Na vile nilikuwa sijampenda bahili kama nini! Hajui kuongea vizuri, hayuko romantic yaani utafikiri nachat na mjomba wangu, manina nikamuacha sasa hivi amebaki kuniona status na kunisifia nilivyonenepa nyoooo!
Instagram watu wanaficha comment section ili kuepusha bad reviews na spana za wajaSure ,ogopa sana mfanyabiashara anayeficha last seen na read receipt na pia anayehide comment kwenye insta!! Yaani hapo akili kumkichwa ukilemaa unaachwa ferry.
Hahaaa Spana za Insta za kiwango cha SGR...😀😀😀.Instagram watu wanaficha comment section ili kuepusha bad reviews na spana za waja
Ndo ushanihukumu? Ukinijua utafuta post yako ila kwa kuwa ni ngumu wewe kunijua .wewe ni hukumu tu ila trust am a good lady.We binti una balaa😅 yani!
Nmejifunza machache katika hio post...
1.Unapenda kuhongwa
2.Kubebishwa
3. You are a control freak
Vipi kwa sasa ulienae ni sawa na mtoto wa bhakressa au ndio mnavumiliana tu😅 siku ziende?
Sijakuhukum bana nime analyse toka katika nilichokisoma hapo😅 usilie basi mtoto mzuriNdo ushanihukumu? Ukinijua utafuta post yako ila kwa kuwa ni ngumu wewe kunijua .wewe ni hukumu tu ila trust am a good lady.
Ni kweli mi hela napenda najua kuisaka! Tho siwezi iomba na siwezi date bahili maana mm mtoaji.kiasi uko sawa.mwanaume hana hela wa nini sasa?Sijakuhukum bana nime analyse toka katika nilichokisoma hapo😅 usilie basi mtoto mzuri
Ni kweli kipenda roho sikuzote hula nyama mbichi!Ni kweli mi hela napenda najua kuisaka! Tho siwezi iomba na siwezi date bahili maana mm mtoaji.kiasi uko sawa.mwanaume hana hela wa nini sasa?
Watu wazima wa miaka arobaini waita watoto?Inawezekana wewe na hao watu wako mna akili za kitoto.
Inawezekana vipi mtu anaanza kukuuliza swali kama hilo? Manake wewe ni mtumwa kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mgeni eeehWewe ni mtu mzima hata akikufuatilia, yeye inamuhusu nini?
Mwambie atafute kazi za kufanya, anatakiwa ajue msimamo wako kuhusu online activity yako. Hata akikuona online, haimaanishi akituma sms ajibiwe.
Lakini ni vizuri kuheshimu options za wengine wavipendavyo sio vyema kuhukumu sana kwa kweli mfano Mimi honestly siko driven na opinions za watu ila nimeweka tu hyo option, na nikitaka kujibu na jibu na nisipotaka kitu ni big no.Sio kosa kuhide au kushow ni maamuzi ya mtu na kila mtu ana reason za kufanya hivyo,hapa tunazungumzia % kubwa wanaofanya hivyo ni watu wa magumashi au kuna kitu wanakikimbia kwamfano wewe umesema inasaidia kupunguza watu wanaofatilia maisha ya watu wengine ila kuna wengine wanafanya hivyo kistrategy ya kukimbia lawama eg mbona umesoma meseji haujanibu ,mbona ulikuwa hewani hadi saa nane usiku ulikuwa unaangalia nini na vingine vinavyofanana na hivyo au wengine wanaweka hivyo ili ukimtumia meseji anakujibu sijafungua whatsapp siburi nikifungua nitakujibu kisha ndiyo imtoka hiyo na wewe hauwezi kujua kama kweli kasoma au hajasoma coz kahide read receipt itabidi uwe mpole sasa matapeli au wajanja wajanja wanatumia sana hiyo feature kuteleza.
Hivi read receipt ina kazi gani WhatsApp. Sorry mimi siyo mtumiaji sana wa mtandao wa WhatsApp.Watu wanaoficha last seen na read receipt huwa nakuwa nao makini sana kwenye kufanya biashara....Na nikiona mtu kahide last seen na read receipt naanza kumtilia shaka hapo hapo.....Kama hauna magumashi ya nini ufiche vyote hivyo?