Huwa silaulumu sana japo Huwa sipendi hasa nikiwa na shida ya muhimu๐๐ hadi wewe jamani. Nikikutext leo, ukanijibu jumanne. Sijali, naamini ulikuwa busy, unless otherwise nimerequest oxygen ndio niumie
Mimi nawezwa kwenye block aisee.๐๐ hadi wewe jamani. Nikikutext leo, ukanijibu jumanne. Sijali, naamini ulikuwa busy, unless otherwise nimerequest oxygen ndio niumie
no read receipts ndio inakuwa hivyo?Si usubiri atakurudia na kujibu hiyo vipi? ๐๐ mimi sipendi lawama za nimetuma sms umeniblue tick, wee nitablue tick na hizo lawama zenye unanipa
Iyo hajaisoma akifungua zinakuwa za blueHiyo ndio no read receipts
Keep on forwading ile sms ya muhimu. Unakuta mtu ana shida, anaanza kusalimia anasubiri ujibu ile salamu ndio aendelee. UtakeshaaHuwa silaulumu sana japo Huwa sipendi hasa nikiwa na shida ya muhimu
Kwangu unaonaga rangi ya blue? ๐คฃ sio zote zina blue antieIyo hajaisoma akifungua zinakuwa za blue
Yesโฆ inakuwa haionyeshi kama kasoma au hajasoma.no read receipts ndio inakuwa hivyo?
zamani ilikuwa inaniuma, ila siku hizi hata usiponijibu mwezi kawaida tuu.Iyo hajaisoma akifungua zinakuwa za blue.
๐๐KumbeKwangu unaonaga rangi ya blue? ๐คฃ sio zote zina blue antie
Unapigwa block? ๐คฃ๐คฃMimi nawezwa kwenye block aisee.
Na huu ndio ukweli wenyewe!!Dunia ya sasa hivi imekaa kibiashara sana make sure you have something to bring on the table , like ideas ,money deals , and other positivity stuffs.
Ukafanya hivyo utapunguza idadi ya blue tiki
Binafsi huwa nakuwa na small circle ya watu wakuwasiliana nao pia vilevile huwa nawasiliana na watu wapya
Siwezi kushindwa kujibu ujumbe wa MTU maana I don't do business but I'm a business.
Pia Mimi nikituma kwa MTU zikatokea blue tiki without any respond nachukulia kawaida maana kuna WATU huwa hawafanyi biashara na hawaitaji kuongeza network ya watu wapya hao Mara nyingi Ana we za kusoma ujumbe na akakaa kimya.
Tusichulie mambo personal hijalishi yanatupa faida au hasara.
Umekuwa sugu Mimi namuarchive sitak namuweka huko mbali na Convo zanguzamani ilikuwa inaniuma, ila siku hizi hata usiponijibu mwezi kawaida tuu.
Ngoja nikutumie sms olewako usijibu ๐๐๐Kwangu unaonaga rangi ya blue? ๐คฃ sio zote zina blue antie
Kama ni demu huwa napiga moyo konde na kusubiri siku yake ajichanganyeKuna watu kitendo hiki kinawaumiza sana. Wengine wala hawajali. Wewe huwa unachukuliaje mtu akikufanyia hivi?
View attachment 3073253
Huwa ni setting tu unaweka?nami niweke Niko busy sana mwez huu ๐๐Yesโฆ inakuwa haionyeshi kama kasoma au hajasoma.
Yani watu kuna vitu wanavipa umuhimu kupitilizaโฆ!!Hahahahaha, sawa sawa, watu wanajipa tabu bure kama kaweka pozi na wewe muwekee pozi
๐คฃ๐คฃ jina lako nimelipin my wangu. Liko juu juu. Itakuwa nilikuwa mbali na cm, hatukurudiana? ๐คฃ๐คฃNgoja nikutumie sms olewako usijibu ๐๐๐
Kunasiku kidogo nikufate nipo kariakoo hujibu nikapiga kimya nilikumind๐๐๐
Haha ndiyoo.. nakutumia voice note ya maelekezo, shaka ondoaHuwa ni setting tu unaweka?nami niweke Niko busy sana mwez huu ๐๐
Wewe KITAKURAMBAHapana kuna kapisi flani yani mnaweza kuchati vizuri mwanzo ila kuna mada ukiingizia hajibu kabisa? sasa najiulizaga shida ipo wapi? na anakua online na status anaview