WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

Take positively, chukulia tu kama jamaa Kwa muda huwa anafanya kitu muhimu zaidi. Fahamu naweza kuwa naendesha gari, naweza kusoma haraka lakini si kujibu Kwa usalama wangu na wengine.


Kama unashida ya jibu la hapo Kwa hapo si upige voice call, either Norma call or Whatsapp
 
Huwa silaulumu sana japo Huwa sipendi hasa nikiwa na shida ya muhimu
Keep on forwading ile sms ya muhimu. Unakuta mtu ana shida, anaanza kusalimia anasubiri ujibu ile salamu ndio aendelee. Utakeshaa

Ni Hi.. bla this bla that.. mtu anasoma atajibu, ila Hi, Hello hazina ujumbe mwingine jamani uwa tunasahau kujibu
 
Dunia ya sasa hivi imekaa kibiashara sana make sure you have something to bring on the table , like ideas ,money deals , and other positivity stuffs.

Ukafanya hivyo utapunguza idadi ya blue tiki

Binafsi huwa nakuwa na small circle ya watu wakuwasiliana nao pia vilevile huwa nawasiliana na watu wapya

Siwezi kushindwa kujibu ujumbe wa MTU maana I don't do business but I'm a business.

Pia Mimi nikituma kwa MTU zikatokea blue tiki without any respond nachukulia kawaida maana kuna WATU huwa hawafanyi biashara na hawaitaji kuongeza network ya watu wapya hao Mara nyingi Ana we za kusoma ujumbe na akakaa kimya.


Tusichulie mambo personal hijalishi yanatupa faida au hasara.
Na huu ndio ukweli wenyewe!!
 
Ngoja nikutumie sms olewako usijibu 😂😂😂
Kunasiku kidogo nikufate nipo kariakoo hujibu nikapiga kimya nilikumind😂😂😂
🤣🤣 jina lako nimelipin my wangu. Liko juu juu. Itakuwa nilikuwa mbali na cm, hatukurudiana? 🤣🤣
 
Hapana kuna kapisi flani yani mnaweza kuchati vizuri mwanzo ila kuna mada ukiingizia hajibu kabisa? sasa najiulizaga shida ipo wapi? na anakua online na status anaview
Wewe KITAKURAMBA
Huyo ana machaguo mengi ndiomana haoni umuhimu wako, punguza kumpa attention..
Anza kumchukulia kawaida, asiporespond usimsumbue achana naye..!
Muweke pending acha kumtreat km queen.!
Tena ikiwezekana na wewe tafuta marafiki wapya au vitu vya kukukeep busy.!
Tafuta vitabu soma uongeze knowledge badala ya kusumbukia yutiai, bro unafeli wapi??
 
Back
Top Bottom