WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

Everything must be taken personal. Why ? Coz everything in business, social interactions and daily chores we all put our personal choices and preference into first priority .Any decisions we make at the end will affect us personally. NB: Usichukulie personal na practice kama nipo njema grammatically.
 
Mi nilijificha hata tiki ilikuwa moja bhana bhana kumbe nyonga mkalia ini hapendi maana hata nikiwa online ilikuwa huwezi kujua, siku moja akanisomea nikajua kumbe hili jambo halina jinsia wala umri, saiv nimerudi kwenye bluetick,
 
Unakuta kijana ana lilia yutiai
Akipewe anaanza kutafuta azuma zipo wapi?
Duuuh hatariiii Sana
Anyway sisi tunafurahia maana tunauza azuma Sana walete walete walete hao
 
Mi nilijificha hata tiki ilikuwa moja bhana bhana kumbe nyonga mkalia ini hapendi maana hata nikiwa online ilikuwa huwezi kujua, siku moja akanisomea nikajua kumbe hili jambo halina jinsia wala umri, saiv nimerudi kwenye bluetick,
😂😂😂 mapenzi nayo sometimes y’a hovyo.
Sasa wivu had kwenye blue tick.!!
 
Mie ndo nalalamikiwa kuwa bluetick watu, afu sijari wala nn.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna jumbe hazina haya ya kujibu ndugu kwani ni maagizo kinachohitajika ni utekelezaji sio muda wa dialogue
 
bona haina shida, inategemea tu hujajibiwa text ya namna gani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…