Dunia ya sasa hivi imekaa kibiashara sana make sure you have something to bring on the table , like ideas ,money deals , and other positivity stuffs.
Ukafanya hivyo utapunguza idadi ya blue tiki
Binafsi huwa nakuwa na small circle ya watu wakuwasiliana nao pia vilevile huwa nawasiliana na watu wapya
Siwezi kushindwa kujibu ujumbe wa MTU maana I don't do business but I'm a business.
Pia Mimi nikituma kwa MTU zikatokea blue tiki without any respond nachukulia kawaida maana kuna WATU huwa hawafanyi biashara na hawaitaji kuongeza network ya watu wapya hao Mara nyingi Ana we za kusoma ujumbe na akakaa kimya.
Tusichulie mambo personal hijalishi yanatupa faida au hasara.