WhatsApp wamekuwaje?


Oppo A83 na A57 nyingi zinazingua whatsap
 
Simu yako ni oppo?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Tuanzie hapa, simu ambazo ukiweka sim card yenye contacts, zile contact hazidisplay. Na naskia wamekosana na Meta hao jamaa licha ya kuwa wameomba msamaha
 
Ipo namna ya kusolve hilo tatizo, bila kubadili simu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Reply itakayofuata hapa ni ya njoo PM. Huko PM kuna mtu atapigwa za uso mpaka ashangae, kesho tutakutana na uzi wa dhuruma. Hata kama mtu alitoa buku, utaskia, nikamtumia 100k
 
Nunua simu acha kelele... Hayo masimu ni mabovu, wao wenyewe makwao hawatumii
 
Sidhani, apps za kwenye simu yangu, zoote nimedownloadia Chrome, even JF. Ila sijawahi kumbana na matatizo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ