WhatsApp wamekuwaje?

WhatsApp wamekuwaje?

Wanaosema simu za Oppo tatizo mbona yangu haina hayo mambo Wakuu na ndio brand naitumia kitambo hadi leo ni Oppo na Motorola tu.

Muhimu nunua simu mpya achana na simu za mtumba. Simu yoyote mtumba sio ya kuiamini kwanza ni risk unaweza tumika kiduanzi sana.

Oppo A83 na A57 nyingi zinazingua whatsap
 
Ipo namna ya kusolve hilo tatizo, bila kubadili simu.
😂😂Reply itakayofuata hapa ni ya njoo PM. Huko PM kuna mtu atapigwa za uso mpaka ashangae, kesho tutakutana na uzi wa dhuruma. Hata kama mtu alitoa buku, utaskia, nikamtumia 100k
 
Nunua simu acha kelele... Hayo masimu ni mabovu, wao wenyewe makwao hawatumii
 
Kama umewahi kutumia WhatsApp feki au apk zozote zengine ambazo haukuzipata Play store moja kwa moja kuna uwezekano watu wanatumia namba yako kutuma spam whatsapp. Minimum cha kufanya ni kupiga reset simu yako na usidownload apk zisizoeleweka tumia WhatsApp na app zote kwa ujumla kutoka Playstore.
Sidhani, apps za kwenye simu yangu, zoote nimedownloadia Chrome, even JF. Ila sijawahi kumbana na matatizo kama haya
 
Back
Top Bottom