issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Hapo kwako mbona inafollowers wachache, ama ulifotoa kitambo ukahifadhi😄Nimesikitika sana 😃😃 hadi kwangu mwee😀View attachment 3518920
Hapo kwako mbona inafollowers wachache, ama ulifotoa kitambo ukahifadhi😄Nimesikitika sana 😃😃 hadi kwangu mwee😀View attachment 3518920
Hizi recommendations hazifai, waweke option za ku-Mute, mzazi weka password ya kuingia WhatsApp.Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.
Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
Ndio inawiki hiiHapo kwako mbona inafollowers wachache, ama ulifotoa kitambo ukahifadhi😄
Qummmk hawa washenzi!😅😅Eti tamu yangu🤣🤣
Ulikuwa unafanya utafiti gan mpaka ukafotoa ka picha hako ukatunza😄Ndio inawiki hii
😀😃😃Ulikuwa unafanya utafiti gan mpaka ukafotoa ka picha hako ukatunza😄
Masta mwisho ni mara tatu tu au ucheki vigezo wewe una badili tu mwanetu 😀😃kuacha kubadili jina ni mpaka pale jf wenyewe wataweka limit ya ni mara ngapi mtumiaji wa jf akibadili jina itakuwa amefikia ukomo. Kama hawajaweka ukomo basi nitabadilisha sana tu. Cc. Active
kama ukomo ni mara 3 basi ningejaribu kubadili zaidi ya hapo basi ningealifiwa,lakini kama nimebadili zaidi ya mara 5 na nikibadili inaenda sawasawa basi naendelea kuamini kuwa ni unlimited.Masta mwisho ni mara tatu tu au ucheki vigezo wewe una badili tu mwanetu
Mara 5 haujafikakama ukomo ni mara 3 basi ningejaribu kubadili zaidi ya hapo basi ningealifiwa,lakini kama nimebadili zaidi ya mara 5 na nikibadili inaenda sawasawa basi naendelea kuamini kuwa ni unlimited.
thibitisha.Mara 5 haujafika
Mbona mimi sipati hayo mambo?Jamaa miyeyusho sana 😀 😀 wanataka kukupeleka kwenye pilau
Click na hold hiyo channel, juu ya WhatsApp utaona alama ya "eye" inayoomaanisha ""view/do not view". Click hiyo alama, then utakuwa umeminyq na hautaiona tena.Hakuna naamna ya kuminya ili nisiziond
Tupasie hayo magroup....Wengine tuko na ma-shida nazo!Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.
Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?