Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Nimeshangaa mambo ya mapenzi yapo kwenye news
Hawataki kubakiza hata mmoja😂Nimeshangaa mambo ya mapenzi yapo kwenye news
View attachment 3519366
Inakuwa kama majaribu sasaHawataki kubakiza hata mmoja😂
Naona kila mtu anapewa kipaumbele chake😆Nimesikitika sana 😃😃 hadi kwangu mwee😀View attachment 3518920![]()
Tunakoma sio siri! Kabla ya maombi, unajionea haya kwanza pheew!!😢Heee ndio naona hapa huu upuuzi sasa itakuaje kwa Wale walokole?
😂😂😂
VirusTunakoma sio siri! Kabla ya maombi, unajionea haya kwanza pheew!!😢
😀😀Naona kila mtu anapewa kipaumbele chake😆
Haisaidii mimi nimefollow BBC , CNN ,JF , za UN na dini lakini suggestions wameweka ujinga wao.Au chagua vitu vya muhimu ili zisuggest za aina hiyo
View attachment 3519365
Asante una mawazo ya kujenga!Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.
Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
View attachment 3519340
SawaHaisaidii mimi nimefollow BBC , CNN ,JF , za UN na dini lakini suggestions wameweka ujinga wao.