WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

Jamaa miyeyusho sana 😀 😀 wanataka kukupeleka kwenye pilau
Screenshot_20251222-233301.png
Nilijua naona mimi tu. Sometimes unafungua WhatsApp kwa kificho watu wasione ndio michezo yako
 
Wanataka kuharibu vijana kwa punyeto ili tusizaliane kama wao
 
Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.

Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?

Kuna channel hapo juu umeifollow ndio inaleta izo channel nyingine

Cha kufanya unfollow channel zote na izo zitaondoka
 
Daah hizii staff jau sanaa 😃😃
 

Attachments

  • IMG_6586.png
    IMG_6586.png
    587.6 KB · Views: 18
Back
Top Bottom