JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Hili group nimekutana nalo asubuhi pindi naingia mtingo, nikalipotezea....Halafu inakuaje hiyo channel inajitokeza kwa juu kbs kwa Kila mtuView attachment 3518915
Wanazingua sana hivi hakuna namna ya kuwashitaki kwa ujinga waoSina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.
Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
Jamaa miyeyusho sana π π wanataka kukupeleka kwenye pilau
Nimesikitika sana ππ hadi kwangu mweeπView attachment 3518920
Kuna channel hapo juu umeifollow ndio inaleta izo channel nyingineSina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.
Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
πππView attachment 3519303Nilijua naona mimi tu. Sometimes unafungua WhatsApp kwa kificho watu wasione ndio michezo yako
Walaaniwe ππ
Wazingua sanaa hawa π
Haha nani alikutumaNiliwahi kuingia kwenye hilo group nikidhani ntakutana na video, kumbe ngonjera tuu
Majaribu kwaoHeee ndio naona hapa huu upuuzi sasa itakuaje kwa Wale walokole?
πππ
Genye tuuHaha nani alikutuma
Au chagua vitu vya muhimu ili zisuggest za aina hiyoFollow channel zingine ili hizo zisionekane