WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

Yaani machannel ya whatsapp ni ya hovyo sana ,ngono tupu...Halafu channels huwa sifagilii kwasababu hauwezi kucomment.
 
Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho.

Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?

View attachment 3519340
Asante una mawazo ya kujenga!
What I know bonyeza apo kwenye hide updates lakini ili vuchafu husika usionekane jaribu kubonyeza chanel husika kwa ku hold then utapata namuna ya kuiondoa more👇
 

Attachments

  • Screenshot_20251223-122525.jpg
    153.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20251223-122505.jpg
    86.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20251223-122452.jpg
    124.9 KB · Views: 10
Haya ni mambo ya makusudi ya kuchanganya mindset za watu.
Haya ndio mambo ambayo liberals kama wakina Yoda wanayapenda, soon mtaanza kuona na channels za kishoga
Unayo maji ya kuoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…