Whatsssssss!!!!!!!!!????

Kucheka ni dawa kiafya ila ukicheka bila sababu unahitaji dawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Em tusaidiane hapa Upo kwenye gari unataka ulipe nauli konda anasema umesha lipiwa na aliye kulipia amesha shuka[emoji1][emoji1]
 
Imagine unaumwa unapelekwa wodini kulazwa ile kufika mlangoni mnaambiwa wodi imejaa ila subirini kuna mtu amesha fariki so wanamfunga wamtoe wampeleke Mochwari ili wewe upate nafasi[emoji15]
 
Guys niko kwa gari nimekaa na mdada hanijui simjui konda anadai nauli roho ikanituma nimlipie huyu dada nikatoa elfu tano nikasema konda kata wawili na huyu dada. Yaaaan mdada aliniangalia then akatoa msonyo huooooo na bonge la tusi..Then akasema konda nalipa mwenyewe..Guy's mpaka sasa natuma post hii bado anatafuta nauli kwenye pochi haioni..macho na kijasho kama vinamtoka[emoji16][emoji16]
 
Kupiga picha uko kwenye gari umeshika Staring kama unaendesha naikiwa gari imesimama na mlango uko wazi. Hilo nalo ni jipu[emoji12][emoji12]
 
Kuna mama kajifungua mapacha.Ila madaktari wamegundua mapacha hao kila mmoja ana baba yake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimsaliti mkeo au mumeo atleast Mara moja kila mwezi kwa mwaka Nisawa na siku 12 Kati ya 365 ..so we bado n mwaminifu kwa asilimia 97% ambayo ni A+
Zingatia
Numbers don't lie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika kila mwanaume aliye fanikiwa kuna mwanamke nyuma..Sasa kama mwanaume unataka kufanikiwa zaidi, inabidi uongeze[emoji16][emoji125][emoji125]
 
Kuna vitu ni magic. Mnaweza nambia kwanini mtu fimbo za shule unagandisha hata kumi ila home mzee akikushikia fimbo tu mchozi huo[emoji22][emoji24][emoji24]
 
Majanga jamani nimemtumia demu wangu hela sasa text ya kumwambia hela aitumie vizuri imeenda kwa mzee na mzee ndo alinitumia hiyo hela[emoji12]
 
: BABA NA BINTI YAKE
Binti: Baba kwanini unanikataza kushinda na Emma wakati ni Rafiki yangu tu wa kawaida tunajadili masomo!!?
Baba:Hebu jaribu kushinda na Toothpick mdomoni mwako kutwa nzima, lazima utaitafuna tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana nilikua najaribu kama police wako makini najuta mbona,
Nikawapigia cm kuna benki inaibiwa hapa afu nikakata simu fasta
Wakanipigia wao hapo hapo wakaniuliza benki gani
Nikawajibu power bank yangu hapa nyumbani
Saizi niko kituo cha police hapa central natoa maelezo[emoji13][emoji13]
 
FAIDA KUU 3 ZA UVUTAJI WA SIGARA
1. mvuta sigara hazeeki ( hazeeki sababu hufa mapema kwa kifua kikuu)
2. mvuta sigara haumwi na mbwa( kwa vile kifua na mapafu yanapoza na hulazimika kutembea na bakora)
3. nyumban kwake haingii mwizi ( kwakuwa inafika wakati ambapo halali na anakohoa usiku kucha na kupelekea mwizi kuogopa kuwa mwenye nyumba yupo macho[emoji12]
 
Zuberi alimpa ujauzito mwanafunzi
akashtakiwa.
Kumbe Zuberi ana bibi
yake mtaalamu wa yale mambo yao
ya Sumbawanga, akampachika Zuberi
jinsia ya kike alipofika mahakamani
kuhojiwa Zuberi akasema sijampa ujauzito kwani mimi nina jinsia ya kike.
Kwa kuthibitisha Zuberi akajifunua
nguo basi akashinda kesi, kufika
nyumbani Zuberi akawakuta watu
wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?
Akaambiwa bibi yako amefariki.
Zuberi akawa zubeda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ya kufunga shule, mzazi akahudhuria kumpongeza mwanae. Kila zawadi ikisomwa mwanae hayupo, akakasirika sana. Walivyomaliza kula wakiwa njiani, mzazi kwa hasira anamuuliza mwanae:
MZAZI: Umewaona watoto wenye akili wakipokea zawadi zao?
MTOTO: (akajibu) na wewe umewaona wazazi wenye akili wamepaki magari yao?
Sisi tunapanda daladala!
Huyo mtoto sasa hivi yupo ICU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki....mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa
 
Nimemtembelea rafiki yangu nyumbani kwake mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa karibu kusonga ugali.
Nikamuwahi wakati alitoka nje, nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujua alipima maji kulingana na unga uliobaki.
Sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani.
Kumbe wote hatupendi ujinga...!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WAZO LA GHAFLA
Hivi unajisikiaje pale kanisani wanapotangaza leo kutakuwa na sadaka 3 afu wewe unayo moja tu ambayo ni jero ya noti?[emoji12]
Nakuwa na amani kama ndo sadaka niliyonayo... Naamni Mungu anaangilia utayari wa moyo kumtolea na sio kiwango kikubwa nitoacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…