supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Kucheka ni dawa kiafya ila ukicheka bila sababu unahitaji dawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAZO LA GHAFLANi kujukumu lako kumpatia na sio lazima akuombe
Nimemtembelea rafiki yangu nyumbani kwake mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa karibu kusonga ugali.ahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]AJIRA NGUMU!!
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya Banda la Simba, akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"
Mara yule Simba akamwambia "Acha Ufala ww kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadamu! rudi kwenye Banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuwa na amani kama ndo sadaka niliyonayo... Naamni Mungu anaangilia utayari wa moyo kumtolea na sio kiwango kikubwa nitoachoWAZO LA GHAFLA
Hivi unajisikiaje pale kanisani wanapotangaza leo kutakuwa na sadaka 3 afu wewe unayo moja tu ambayo ni jero ya noti?[emoji12]