Whatsssssss!!!!!!!!!????

Baada ya Mwizi kuvunja mlango na kuingia ndani kule Tarime akakuta kibakuli kina vinyama vilivyokauka akaonja kimoja akaona ni vitamu akaamua kuvila vyote, baada ya kumaliza akaangalia juu akona kumeandikwa CHUMBA CHA UKEKETAJI. wee unahisi atakuwa amekula nyama za nini?[emoji13]
 
Mwanaume akipendwa huskia raha sana, anaweza akaomba msamaha hata kwa kosa ambalo hajafanya..
Utaskia
Sory mke wangu kwa
Vita kati ya Jike shupa na shilole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchooni, Msalani, mnyaji, mkata kimba au mkimba kimba! [emoji23][emoji23][emoji23]
John Sanga alikuwa mchoraji mzuri sana wa picha...siku moja akachora picha ya noti 10,000 kwenye sakafu ya darasa!...
Mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua alipokuwa anaikimbilia ile noti aiokote...
Alipouliza nani kachora wakamtaja John...ikabidi hapo hapo ampigie baba yake (Mzee Sanga) kumshitaki mwanae...
Mzee Sanga (baba wa John) akiwa Hospitali akajibu..."Unabahati sana wewe, huyo mbwa jana nyumbani kachora uchi wa mwanamke kwenye soketi ya umeme"[emoji12][emoji13]
 
Kuna mswahili mmoja alikuwa anapunga upepo beach mara akapita mzungu wa kwanza akamuuliza Are you relax? Mswahili akamjibu NO. Wa pili akapita tena na kumuuliza Are you relax? Akajubu tena NO. Alipoona maswali yanazidi akahama lile eneo mara akamkuta mzungu mmoja naye anapunga upepo akamuuliza naye ARE YOU RELAX? Mzungu akamjibu YES. Mswahili kwa hasira... '' Pumbavu mkubwa umekaa tu huku mie nasumbuliwa na wenzio haya nenda kule wenzio wanakutafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*_STRESS NI NINI..?_*
*_Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!_*
*_Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali na akabainika ana mimba dokta akaanza kukupongeza kuwa unakaribia kuitwa baba!_*
*_Stress ya tatu ni pale unapokataa na kumwambia dokta mimba si ya kwako, mara ghafla msichana anazinduka na kudai mimba ni ya kwako?_*
*_Stress ya nne ni pale dokta anapoamua kukupima ili kuthibitisha, na baada ya vipimo anakwambia mimba si yako kwakuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba.!_*
*_Stress ya mwisho ni pale,, unaporidhika majibu ya doctor kuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba lakini unakumbuka nyumbani una mke na watoto wawili.....!!![emoji12][emoji13]
 
Duuu noma ukwel

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Baunsa mmoja alikuwa kapumzika sehemu sehemu anakula upepo na ghafla dogo mmoja akamfuata. Huku akionyesha kujiamini yule dogo akamvagaa yule baunsa!
DOGO: Oyaa bro saa ngapi?
BAUNSA:Hebu ondoka usinisumbue!
DOGO: Siondoki mpaka uniambie sasa hivi ni saa ngapi!
BAUNSA: (Kwa hasira) Saa nane na nusu
DOGO: Poa ikifika saa 9 nakuja kukushika tako!
BAUNSA: Unasemaje wewe mjinga hunijuii? (Akaanza kumfukuza, dogo akakimbilia nyumba jirani, Baunsa kamkuta mzee nje ya ile nyumba!)
BAUNSA: Kuna dogo kaingia humu ndani namtaka!
MZEE: Ndio nimemuona, Ni mjukuu wangu, kafanya nini?
BAUNSA: Aaaaha! Kanambia eti ikifika saa tisa atakuja kunishika tako
MZEE: Sasa haraka ya nini? Vumilia kidogo, Bado dakika 20 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_
*Massai:* _safi rafiki_
*Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_
*Massai:* _ulisa acha maneno yako._
*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_
*Massai:* _swala watatu na tembo saba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HUNA KAZI NA MKEO NDIO ANAENDESHA FAMILIA...
UNAPEWA TAARIFA KUWA MKEO YUPO GUEST NA JAMAA.
KWA HASIRA UNAENDA KUFUMANIA
ILE UNAFIKA KARIBU UNAMSIKIA JAMAA ANAMWAMBIA KAOGE TUONDOKE
PIA ANAMWAMBIA CHUKUA LAKI 7 HII KAMPE MMEO IMSAIDIE KWA LEO NA KESHO
ILA MWISHO WA MWEZI NITAKUPIGIA TUKUTANE NIKUPE MILION 50 UMPE AFANYE BIASHARA AWE BIZE ASITUSUMBUE... Swali???
JE? UTAKIWASHA PALE PALE AU UTASUBIRI MILLION 50 KWANZA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa,
usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BREAKING NEWS..!!!
BWANA HARUSI azua tafrani Harusini baada ya wadogo zake wa kiume kuingia ukumbini na wimbo wa "HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA" wakati wa kutoa zawadi[emoji1][emoji1][emoji1]
 
STORI FUPI YA KUCHEKESHA
Siku moja nikiwa stand ya mabasi nikiwa naenda kumsindikiza rafiki yangu....nikamuona binti mrembo saana! Aliyevaa nguo za thamani kubwa sana yaani ukimuangalia huna haja ya kujiuliza mara mbili kuwa huyu ni tajiri au mtoto wa tajiri flani ...basi yule binti mrembo alishuka katika gari ya bei mbaya Range Rover SUV huku akiwa analia...na akiwa amempigia magoti mkaka mmoja mchafu aliyedhoofu sana inaonyesha labda alikuwa hapati chakula yaani ukimuangalia haraka huwezi kumtofautisha na wale waokota vyakula barabarani...basi yule dada mrembo akiwa kapiga magoti alianza kumbembeleza yule kaka "mimi sitaki pesa , sitaki nyumba, staki wigs, staki brazillian yaani staki chochote kutoka kwako bali ninachotaka ni penzi lako tu,busu lako tu,na joto lako tu..huyu dada mrembo alitamka maneno haya kwa hisia sana hulu akilia kilio si cha kitoto, nilipoyasikia hayo maneno ya huyo dada kwanza sikuamini, pili nilichanganyikiwa kabisa sababu huyo kaka chokoraa hata habari hakuwa nayo na alikuwa hata hamtizami japo usoni huyo dada mrembo, nikasema huu upuuzi sasa huyu kaka kama hampendi huyu dada na kashindwa kumwelewa na kuthamini pendo la kweli la yule dada... dadeki mi kidume najitosa kwa huyu dada liwalo na liwe!.....nikatoka pale niliposimama nikaelekea alipo yule msichana alipopiga magoti ili nikafanye yangu maana mrembo alitia huruma hatari......nikamfikia yule mrembo...mara mkaka mmoja akanishika bega...unajua alichonambia??
OYAA WE JAMAA UNAZIBA CAMERA WE HUONI TUNASHOOT FILAM HAPA..[emoji13][emoji13]
 
*Je, WAJUA?*
*Kicheche ndiye mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake lakini cha ajabu zaid hawez kuish bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku. Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche[emoji12][emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma! Imebidi nisubscribe kabisa huu Uzi.. Tuwekee vingine mkuu daaahh hahahahhah
Vichaa walikua wanasafirishwa kwenye gari, sasa kadiri gari ilivyokua inaenda speed kichaa mmoja akawaambia wenzake, angalieni miti inakimbia kuliko gari, kichaa mmoja akajibu, saa ya kurudi tupande miti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumdanganya demu kazi rahisi sana.
Dem. Baby unaeza kuongea kitaliano?? Mana unapenda kuangalia michezo yao af unafurahi kweli.
Jamaa. Ee sana tu naweza ndio..
Dem. Eb ongea tuone.
Jamaa.. Francessco totti ancelotti del piero maldin dinatale konte atletico.
Dem.. Waooooooow baby....maana yake????
Jamaa. Utabaki kua wa moyoni mwangu siku zote.
Dem. Ahsante baby nawew piaaaa
nakupenda sana.
Jamaa. Baloteli.
Dem... Mh...ndio nini tena...
Jamaa... Nakupenda pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya maombi Mchungaji akasema:-
Wanawake wote wanaoteswa na waume zao wasimame!
Wanawake wote wakasimama isipokuwa mmoja tu akabakia
amekaa.
Mchungaji: Haleluyaa!! Hebu mama tushuhudie umemshirikishaj
e Mungu hadi Mumeo hakutesi!??
Akajibu:- Kanivunja Mguu hata kusimama siwezi mniombee!![emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mwalimu mmoja alikuwa anafundisha darasani, wakati
anafundisha kwa bahati mbaya akajamba!
Basi wanafunzi wote wakaziba pua na kuanza kucheka.
Mwalimu akaona aibu akaomba likizo ya mwezi mzima ili
wanafunzi wawe wamesahau.
Mwezi ulipoisha akarudi na kuingia darasani, akawauliza
wanafunzi,
"Tuliishia wapi?"
Wanafunzi kwa pamoja: "Tuliishia pale ulipo jambaaa...".
Basi mwalimu akapigwa na butwaa na akaamua kuacha kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba
ampandishie mshahara….. Mama mwenye nyumba
akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka
kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia?
Msichana: Baba kaniambia.
Mama: ok. Sababu ya pili?
Msichana: Napasi nguo vizuri kuliko wewe
Mama: Nani kakuambia na hili?
Msichana: Baba pia kaniambia
Mama: ok, na sababu ya tatu?
Msichana: Najitahidi kwenye mambo yetu kuliko wewe.
(Hapa mama kaonekana kutaka kujua zaidi na akawa
tayari kujiandaa kumrukia akate kichwa cha binti mara
moja)
Mama: Mume wangu kakuambia na hili pia?
Msichana: Hapana ni Shamba boy kaniambia mimi
najitahidi kwa bed kuliko wewe.
Mama: Tafadhali punguza sauti baba yako asisikie.
Nitakupandishia mshahara wako mara tatu!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
WIVU NOUMAAA!!!
mume kapouuz na mke wake chumbani....
mke akamuuliza mume wake..."hiv mume wang una wasichana wangapi???
mume akajibu ninao wengi kama nywele zanguu....
duuuh mwanamke kuskia hivyo akakushanya kilichochake akasepa...kufika mbele akakumbuk kuwa mme wake ana kipira...akarudi ndukiiii...tupunguze wivu jaman!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HAKIMU: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
HAKIMU: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!. MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe pia kwa kosa la kubaka.
HAKIMU: Kumbe ulibaka pia!!?
MTUHUMIWA: Hapana, sijabaka ila hapa ninacho kifaa cha kubakia.
HAKIMU: kipo wapi ?
MTUHUMIWA: hiki hapa. Jamaa kafungua zipu na kumuonesha Hakimu nyeti zake.
HAKIMU: UKO HURU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JAMAA KAPOKEA SIMU YA MKE WAKE NA IKAWA HIVI NDAN YA DALADALA NA MTOTO MMOJA MZURIIIIIII!!!!
!!!!!!
JAMAA:- HELLO, HELLO SIKUSIKII VIZURIIIIIIIIIIIII (Ikabidi aweke loud speaker).
MKE WAKE:- ULIWEKA WAPI SOCKS ZAKO!?, NYUMBA NZIMA INANUKA NA SIZIONI...!!![emoji1][emoji1][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…