supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Massawe aliongozana na bintitafuta pesa sasa
🙂Massawe aliongozana na binti
yake kwenda kwa mwanaume
aliyempa mimba huku akitweta
kwa hasira.
Walipofika ilikuwa hivi:-
KIJANA: Mzee ni kweli mimi nimempa mimba binti yako, ila
akizaa dume nitakupa daladala
kumi, sheli 3, Maduka 5 na
milioni 50 za mtaji. Akizaa jike,
nitakupa supermarket 3,
mashamba 6 na milioni 40. BINTI: Je mimba ikitoka?
Massawe: Nyamaza pumbavu we,
si atakupa nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]