Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

DU!, SI MCHEZO, YAANI RAHA TUPU:
Inaingia
inatoka
inaingia
inatoka,
Huku miguu
ikichezacheza mikono nayo ikipapasa papasa Akimaliza kiuno hoi.
Da! fundi CHEREHANI bwana ana kazi!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Familia ilipoanza kufilisika Mume akamwambia Mke..
"Jifunze kupika Tumfukuze HOUSE GIRL.
Mke akamjibu na wewe Jifunze MAPENZI 2mfukuze MLINZI..!![emoji12][emoji13]
 
Wakati bank moja inavamiwa nikapiga
112 nikajibiwa "Karibu jesh la POLICE TZ
kitengo cha dharura for Kiswahili pres 1
for English
pres 2".
Nikabonyeza 1 Sauti ikasema "Kwa ajali za barabaran au moto bonyeza 1 kwa
ujambazi bonyeza 2". Nikabonyeza 2
sauti ikasema "kama majambazi wana
panga, rungu au visu bonyeza 1
pisto bonyeza 2
SMG bonyeza 3 AK 47 bonyeza 4 bomu bonyeza5 kama
wanavyo vyote
bonyeza 6".
Nikabonyeza 6, sauti ikasema
"UNGEKUWA WEWE NI POLISI
UNGEENDA? AU UNATAKA SIFA ILI UONEKANE
UNAJUA KUTOA TAARIFA ZA
MATUKIO?
ACHA HIZO KWANI SISI HATUOGOPI
KUFA? KWANZA UMEKOSEA NAMBA
HAPA NI TANESCO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tafuta pesa sasa
Massawe aliongozana na binti
yake kwenda kwa mwanaume
aliyempa mimba huku akitweta
kwa hasira.
Walipofika ilikuwa hivi:-
KIJANA: Mzee ni kweli mimi nimempa mimba binti yako, ila
akizaa dume nitakupa daladala
kumi, sheli 3, Maduka 5 na
milioni 50 za mtaji. Akizaa jike,
nitakupa supermarket 3,
mashamba 6 na milioni 40. BINTI: Je mimba ikitoka?
Massawe: Nyamaza pumbavu we,
si atakupa nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MZEMBE; Mambo Rahma?
RAHMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka
Nikuonyeshe!!
RAHMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako.. (Wakaenda)
RAHMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rahma akafunga)
RAHMA; Nionyeshe Sasa!! MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rahma akazima)
RAHMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
RAHMA; Ok, Nionyeshe.
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa ya kuwakawaka!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Massawe aliongozana na binti
yake kwenda kwa mwanaume
aliyempa mimba huku akitweta
kwa hasira.
Walipofika ilikuwa hivi:-
KIJANA: Mzee ni kweli mimi nimempa mimba binti yako, ila
akizaa dume nitakupa daladala
kumi, sheli 3, Maduka 5 na
milioni 50 za mtaji. Akizaa jike,
nitakupa supermarket 3,
mashamba 6 na milioni 40. BINTI: Je mimba ikitoka?
Massawe: Nyamaza pumbavu we,
si atakupa nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙂
 
Mhaya alitangaza anatibu magonjwa
yooooooote kwa tsh. 100000/=
Na kama akishindwa kukutibu
angekurudishia laki yako nakukiongeza
laki nyingine.
Basi MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela akaenda kutibiwa.
MHAYA: unaumwa nini?
MCHAGA: Sina taste kabisa..
MHAYA:Naomba kikopo no.27 mpe
anywe huyu.
MCHAGA::: Puh puu puu uu si mkojo huu
MHAYA: Umepona karibu tena.
Kesho yake mchaga akarudi tena
hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: Nina tatizo la kumbukumbu
nasahau sana....
MHAYA: nesi naomba kikopo no.27
MCHAGA: ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA ( MKOJO)
MHAYA: UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MKE: "Naomba simu yako plz..."
MUME: "Ahh okay ngoja niwashe
nilikuwa
nimezima...."
Delete videos
Delete pictures Delete inbox
Delete sent items
Delete dialed calls
Delete received calls
Delete missed calls
Delete contacts Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
Delete Delete
Delete
Delete
Delete
Delete
FORMAT MeMoRY CARD!!!! MUME: "Hii hapa mke wangu..!!!"
MKE: "asante nataka tu kuangalia saa
ngapi
niseti simu yangu!!!!!"
MICHEPUKO SIO DILI....!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UTANI TOKA KENYA
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa
dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende
zinatema mate.
3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.
4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna
fence.
5. Baba alienda ku buy ngombe akaona
ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.
6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good
evening.
7. Mko wengi kwa house mpaka kuna
rush hours na kukinyesha kunakuwa na
jam.
8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.
9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa
inafika kwa tumbo ikiwa mgando.
10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa
unawacha footprint nyeusi.
11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick
12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa
bila nguo
13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku
hadi geti mnaingiza ndani
14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.
15. Wewe ni mlafi hadi maji
uliyochemshia mayai unayafanya supu.
16. We ni mjinga sana hadi blood test
ulifeli.
17. Una chogi refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.
18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia
kwenye daladala konda anakwambia
"abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo:Mwalimu mm nataka nisome
darasa la4 kwani hili la3 halinifai.
Mwalim:Kwanini unasema hivo? D
ogo:Nina akili... Basi mwalim kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha
interview kwa dogo. Maswali ni haya....
Mwalim:Kwenye ndege kuna matofali
20 tukitoa moja tukalidondosha chini
yatabaki mangapi? Dogo:Yatabaki 19.
Mwalim:Nipe hatua za kumuweka tembo kwenye friji.
Dogo:Unafungua friji
unamuweka tembo kisha unafunga.
Mwalim:Nipe hatua za kumuweka nyani
kwenye friji. Dogo:Unafungua friji
unamtoa tembo ulemuweka..unamueka
nyani kisha unafunga friji. Mwalim:Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro
mmoja. Ni nani na kwa nini? Dogo:Ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye friji.
Mwalim:Bibi kizee amevuka mto unaokuwa na mamba na viboko wakali, aliwezaje? Dogo:Aliweza kwani
mamba na viboko nao walienda kwenye
sherehe ya kuzaliwa kwa simba.
Mwalim:Ingawa bibi kizee alivuka mto,
baadae alikufa. Unadhani kwa nini?
Dogo:Alidondokewa na lile tofali tulilolitup toka kwenye ndege
 
BORA UZAMIE HARUSI SIO SEMINA
"Jamaa mmoja alizamia semina ya
wasomi iliyofanyika Ubungo Plaza;
Watu wakaanza kujitambulisha;
Wa 1: Naitwa Anna, niko SUA mwaka
wa2 nasoma Agricultursl Engeneering. 2: Naitwa Scholla niko UDSM mwaka wa3
nasoma PUBLIC RELATIONS.
3: Naitwa Alex nipo UDOM mwaka wa3
nasoma Computer Science
JAMAA:Kwa kusuasua sana huku
akijishtukia, naitwa Wiliam, niko TANESCO mwaka wa 8 nasoma MITA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1479305157771.jpg
 
MTU mmoja alifariki na kwenda
jehanamu.
Kufika huko akakuta kuna jehanamu
tofautitofauti kwa kila
nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili
aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi .
Akaenda jehanamu ya Ujerumani .
Akamwuliza mtu aliyemkuta
mlangoni.
“Wanakufanyaje ukiingia humu?”
Akajibiwa: “Kwanza wanakuweka kwenye kiti cha umeme kwa
saa moja , kisha wanakulaza kwenye
kitanda cha misumari
kwa saa moja nyingine . Kisha anakuja
shetani wa Kijerumani
anakucharaza bakora kutwa nzima . ” Mtu huyo hakuipenda jehanamu hiyo.
Akaamua kujaribu
jehanamu za Marekani, Uingereza na
nyinginezo nyingi lakini
akagundua kuwa zote zina adhabu sawa
na jehanamu ya Ujerumani .
Kisha akaifikia jehanamu ya Tanzania.
Akastaajabu kuona kuna foleni ndefu ya
watu wakisubiri
kuingia humo. Kwa mshangao
usiosemekana akauliza ; “Jamani kwani humu wanawafanyaje ?”
Akajibiwa; “Kwanza wanakuweka kwenye
kiti cha umeme kwa
saa moja , kisha wanakulaza kwenye
kitanda cha misumari
kwa saa moja nyingine . Kisha anakuja shetani wa Kitanzania
anakucharaza bakora kutwa nzima . ”
Akazidi kustaajabu . Akauliza, “Lakini
mbona kinachofanyika
humu ni sawa kabisa na kwenye
jehanamu nyingine , kwa nini hapa kuna foleni kubwa sana watu wote
wanakimbilia huku ?”
Jamaa mmoja akamshika mkono .
Akamvutia pembeni .
Akamnong ’ oneza ; “Watu wanakimbilia
huku kwa kuwa jehanamu ya Tanzania haina umeme wa
uhakika ,
unakatikakatika kila dakika kwa hiyo kiti
cha umeme hakifanyi
kazi . Halafu pia misumari ilishalipiwa
lakini wala haijaletwa na mzabuni kwa hiyo kitanda cha humu
ni raha tu kukilalia.
Na jambo lingine ni kuwa shetani wa
Kitanzania alipokuwa
duniani alikuwa mtumishi wa umma . Kwa
hiyo ameshazoea kufika ofisini na kusaini kitabu cha
mahudhurio kisha
kuondoka zake kwenda kufanya shughuli
zake binafsi[emoji13]
 
Pedeshe mmoja alikuwa kaamua kumtoa
mke wake ‘out’ siku ya Valentine.
Akampeleka Njenje, wakati muziki
unaendelea ghafla akapita msichana
mzuri sana akaja kuwasalimia, jamaa
akasimama akamsalimia kwa furaha, kisha msichana akaendelea na mambo
yake. Mke akamuuliza Pedeshee, ‘ Nani
yule?’ akajibiwa, ‘Yule ndie mchepuko
wangu’. Mke akawaka kama moto wa
kifuu. ‘Yaani unanambia bila aibu kitu
kama hicho? Mie nataka talaka yangu’. Pedeshee akajibu kwa upole, ‘Hakuna
tabu talaka ntakupa, ila ndio ukumbuke
hakuna tena sfari za Dubai wala China,
na utaanza kutegemea usafiri wa
Bodaboda’ Mke akapoa moto wake.
Wakati wakiendelea kununiana, ghafla akaingia rafiki yao akiwa na kimwana
pembeni. Mke akamuuliza Pedeshe,
‘Rafiki yako badala ya kuwa na mkewe
namuona na mwanamke ndie nani yule?’
Pedeshe akajibu, ‘Yule ndie mchepuko
wake’. Mke akacheka kwanza kisha akasema,’Haloooo mchepuko wetu mzuri
kuliko wa kwao au sio mume wangu’.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya
porini, mkulima m1 alipoona hivyo
alichimba shimo na kuwazika wote
pamoja. Alipoulizwa na polisi juu ya maiti
mambo yalikuwa hivi;
POLISI: zipo wapi maiti? MKULIMA: nimezizika.
POLISI: unahakika wote walikuwa
wamekufa?
MKULIMA: kuna wengine walikuwa
wanalalamika kwamba hawajafa lakini c
unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wanadanganya nikawazika
wote!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mke alikuwa akifanya usafi nyumbani
kwake, kwa bahati akakuta kibox kidogo
chini ya mvungu wa kitanda,
alipokifungua alikuta kuna mayai matano
na shilngi milioni mbili. Mumewe aliporudi
alimuuliza kuhusu kile kisanduku na mayai ni ya nini?
Yule bwana akamjibu mkewe kwamba,
alijiwekea utaratibu kuwa kila akitoka nje
ya ndoa ananunua yai moja na
kulihifadhi mle katika kisanduku. Mkewe
akiwa na furaha akamwambia duh! yaani tangu tuoane miaka mitano iliyopita
umetoka nje ya ndoa mara tano tu!
Kumbe wale walikuwa wananiambia
kuwa wewe ni malaya sana hawakuwa
sahihi ni wachonganishi tu... Mke
akauliza, haya na hizi shilingi milioni mbili ni za nini?
Mume: Huwa nayauza yale mayai pindi
yakiwa mengi na fedha naweka humo..![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuangalia mpira na mwanamke ni shida em angalia MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA:
WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red Card inamaanisha mchezaji atoke inje ya uwanja.
WIFE: Oooooh! Inakaa kama traffic light! Yellow- Ilani na Red - Simama
HUSBAND: Yeah yeah swity! Ndio hivyo.
WIFE: Na je Green Card??
HUSBAND: Aaaah! Hiyo haipo.
WIFE: Nataka Arsenal ishinde world cup. HUSBAND: [kimya]
WIFE: Ni nani yule mzee anafanana na Mr. Bean??
HUSBAND: Yeees swity, yule ni kocha wa Arsenal, anaitwa Arsene Wenger.
WIFE: Oooooh! inamaanisha yule kocha mwengine ni Chelsea Wenger??
HUSBAND: [Kabadilisha channel][emoji23][emoji23]
 
JOHN na PAULO walipotea Jangwani, wakawa na Njaa na Kiu sana! Mara wakaona Msikiti! JOHN akasema tujiite Majina ya Kiislam ili tusaidiwe! JOHN akajiita ABDULMALIK, lakini
PAULO akakataa kubadili jina na akasema hata Njaa ikiniua,nitakufa katika BWANA! Walipofika maeneo ya Msikitini, Imam akawapokea vizuri na kuwauliza Majina yao;
JOHN akasema: "Naitwa ABDULMALIK."
PAULO akasema:- Naitwa PAULO" Imam akamwambia Mhudumu;- "Kamletee PAULO chakula na Juisi,
ABDULMALIK, pole na Swaumu! Wewe subiri jioni Tutafuturu pamoja!"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Joni Miwani alikuwa kanisani, kapu la
sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika
kwake akatoa noti ya shilingi mia tano
akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye
kapu. Mara ile ile akaguswa begani na
mtu aliyekuwa nyuma yake, kugeuka akakuta jamaa anampa noti mbili za elfu
kumi, akajua jamaa anataka kutoa
sadaka, akazipokea na na kuzitia katika
kapu. Walipomaliza ibada tu jamaa
akamfuata nje yule mheshimiwa aliyetoa
shilingi alfu ishirini, na kuanza kumpa hongera kwa kujitolea fungu kubwa vile
katika sadaka. Mheshimiwa akajibu,?
Hapana haikuwa sadaka yangu,
ulipokuwa unatoa sadaka yako mfukoni,
zile hela zilidondoka kutoka kwenye
mfuko wako, nikaziokota na kukurudishia[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shopkeeper:Hi!
Admin:habari yako?
Shopkeeper:safi mambo?
Admin😛oa tu! Nimekuja kununua sidiria (bra) ya demu wangu sasa nimesahau kipimo chake
Shopkeeper:kwani huyo demu wako nimwembamba au yuko kama mimi?
Admin:yuko kama wewe tu!
Shopkeeper:basi ngoja nikuoneshe ya matiti yangu labda utapata idea ya size ya demu wako!
Admin:itakua poa sana
Shopkeeper🙁aka
wa anamuonesha)
Admin:nataka nimnunulie na pichu na skintight[emoji12]
 
Back
Top Bottom