supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini hivyo?'
[emoji23] [emoji23] [emoji12]Wakati mama yako anahangaika kukuombea wewe na jina lako ni CHAUSIKU MWAKAKUYA.....lakini umebadilisha na kujiita Miss chaga, geniverous, me too..
Dada unawapa tabu Malaika kukutafuta.
Ayaaaaaa!!! Nani kamtaja geniveros[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji12]
Karibu tena tina[emoji6] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Bongo Movie Bana Eti Jambazi Kamnyoshea Mtu Bastola Alafu Anamwambia . NITAKUCHINJAAAA..
Nimezima Tv, Nimeona Niingie Jamii Forum[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mbavu znavunjika [emoji23] [emoji23]Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akajibu "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba natembea na binti yangu[emoji13] [emoji13]
Mpaka uzimalize shughuli unayo[emoji1]Mkuu mbavu znavunjika [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made my dayMpaka uzimalize shughuli unayo[emoji1]
Bado zipo nyingi haziishi, weka mbavu za akiba[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua vitu vitano (5) kuhusu wewe!!
1. Unasoma hii msg
2. Wewe ni mtu
3. Huwezi kutamka neno "P" bila kufumbua mdomo
4. Umejaribu kuona kama utaweza
6. Unacheka[emoji16]
7. Uso wako unafuraha, na umeiruka No. 5
8. Umeangalia kama kuna No.5 kweli umeiruka
9. Unaendelea kutabasamu kwasababu nakupatia
10. Umeipenda hii msg[emoji23][emoji23][emoji23], Utaiiba[emoji12]
*_STRESS NI NINI..?_*
*_Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!_*
*_Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali na akabainika ana mimba dokta akaanza kukupongeza kuwa unakaribia kuitwa baba!_*
*_Stress ya tatu ni pale unapokataa na kumwambia dokta mimba si ya kwako, mara ghafla msichana anazinduka na kudai mimba ni ya kwako?_*
*_Stress ya nne ni pale dokta anapoamua kukupima ili kuthibitisha, na baada ya vipimo anakwambia mimba si yako kwakuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba.!_*
*_Stress ya mwisho ni pale,, unaporidhika majibu ya doctor kuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba lakini unakumbuka nyumbani una mke na watoto wawili.....!!![emoji12][emoji13]
STORI FUPI YA KUCHEKESHA
Siku moja nikiwa stand ya mabasi nikiwa naenda kumsindikiza rafiki yangu....nikamuona binti mrembo saana! Aliyevaa nguo za thamani kubwa sana yaani ukimuangalia huna haja ya kujiuliza mara mbili kuwa huyu ni tajiri au mtoto wa tajiri flani ...basi yule binti mrembo alishuka katika gari ya bei mbaya Range Rover SUV huku akiwa analia...na akiwa amempigia magoti mkaka mmoja mchafu aliyedhoofu sana inaonyesha labda alikuwa hapati chakula yaani ukimuangalia haraka huwezi kumtofautisha na wale waokota vyakula barabarani...basi yule dada mrembo akiwa kapiga magoti alianza kumbembeleza yule kaka "mimi sitaki pesa , sitaki nyumba, staki wigs, staki brazillian yaani staki chochote kutoka kwako bali ninachotaka ni penzi lako tu,busu lako tu,na joto lako tu..huyu dada mrembo alitamka maneno haya kwa hisia sana hulu akilia kilio si cha kitoto, nilipoyasikia hayo maneno ya huyo dada kwanza sikuamini, pili nilichanganyikiwa kabisa sababu huyo kaka chokoraa hata habari hakuwa nayo na alikuwa hata hamtizami japo usoni huyo dada mrembo, nikasema huu upuuzi sasa huyu kaka kama hampendi huyu dada na kashindwa kumwelewa na kuthamini pendo la kweli la yule dada... dadeki mi kidume najitosa kwa huyu dada liwalo na liwe!.....nikatoka pale niliposimama nikaelekea alipo yule msichana alipopiga magoti ili nikafanye yangu maana mrembo alitia huruma hatari......nikamfikia yule mrembo...mara mkaka mmoja akanishika bega...unajua alichonambia??
OYAA WE JAMAA UNAZIBA CAMERA WE HUONI TUNASHOOT FILAM HAPA..[emoji13][emoji13]
Pedeshe mmoja alikuwa kaamua kumtoa
mke wake ‘out’ siku ya Valentine.
Akampeleka Njenje, wakati muziki
unaendelea ghafla akapita msichana
mzuri sana akaja kuwasalimia, jamaa
akasimama akamsalimia kwa furaha, kisha msichana akaendelea na mambo
yake. Mke akamuuliza Pedeshee, ‘ Nani
yule?’ akajibiwa, ‘Yule ndie mchepuko
wangu’. Mke akawaka kama moto wa
kifuu. ‘Yaani unanambia bila aibu kitu
kama hicho? Mie nataka talaka yangu’. Pedeshee akajibu kwa upole, ‘Hakuna
tabu talaka ntakupa, ila ndio ukumbuke
hakuna tena sfari za Dubai wala China,
na utaanza kutegemea usafiri wa
Bodaboda’ Mke akapoa moto wake.
Wakati wakiendelea kununiana, ghafla akaingia rafiki yao akiwa na kimwana
pembeni. Mke akamuuliza Pedeshe,
‘Rafiki yako badala ya kuwa na mkewe
namuona na mwanamke ndie nani yule?’
Pedeshe akajibu, ‘Yule ndie mchepuko
wake’. Mke akacheka kwanza kisha akasema,’Haloooo mchepuko wetu mzuri
kuliko wa kwao au sio mume wangu’.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]