Wana Sayansi Walitengeneza Mtambo Wa Kukamata Wezi Wakimyakimya Walipo Fanikiwa Kutengeneza Ule mtambo Walienda Kufanya Majaribio Nchini MAREKANI Ndani Ya Masaa 3 Ule mtambo Ulikamata Wezi 2,250, 555 Waka Upeleka Nchini CHINA Ndani Ya Lisaa1 Ule Mtambo Ulikamata Wezi3,253, 500 Wakapeleka Ule mtambo Nchini JAPAN Ndani Ya Lisaa1 Ulikamata Wezi 1,255, 650
Waka uhamisha Waka Upeleka Nchi Ya MISRI Ndani Ya Masaa3 Ule Mtambo Ulikamata Wezi 1,100,000
Wakasema Hebu 2peleke Africa Wakapeleka
Kenya Ndani Ya Lisaa Ule mtambo Ulikamata Wezi 65,265,000
Wakapeleka Kongo Ndani
Ya Dakika 30 Ule mtambo Ulikamata Wezi 55,252,000
Wakasema Hebu Tujaribu Nchi ya Amani TANZANIA Ndani Ya Dakika 15 Ule mtambo Ukaibiwa Wanasayansi Hoi Napresha Juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]