Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha saaana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nacheka mwenyeweee tuuu
Nimecheka kwa sauti wakati niko pekee yangu.KIFO SI MCHEZO! Familia ilivamiwa na majambazi,yakapanga kuwaua wote ila kabla ya kuwaua yaliamua kuwauliza majina yao kwanza.
Jambazi:wee unaitwa nani?
Mke:naitwa Elizabeth.
Jambazi:umesalimika mana jina lako ni km la mamangu...
Jambazi:eeh! na wewe je?
Mume:naitwa John ila kazin wananiita Elizabeth[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimecheka kwa sauti wakati niko pekee yangu.