Whatsssssss!!!!!!!!!????

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] mbavu zangu
 
[emoji117]Marekani mume anapoenda kulala anamwambia mke wake “goodnight baby”
[emoji117]Uingereza mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “sweet dreams honey”
[emoji117]Australia mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “goodnight my love”
[emoji117]Tanzania mume anapoenda kulala humuuliza mke wake “umefunga vizuri milango yote na madirisha[emoji12][emoji23][emoji23]
 
MWALIMU: Mtoto akifiwa na wazazi wake wote tunamwita YATIMA sasa je! Wazazi wakifiwa na watoto wao wote tunawaitaje?
MTOTO: mjane[emoji12][emoji13][emoji13]
 
Kuna ajali imetokea jamaa akaenda kumuuliza mzee mmoja aliyekuwapo eneo la tukio.
JAMAA: mzee hivi watu wote hawa wamekufa kwenye hii ajali?
MZEE: hapana wengine wametolewa mortuary wakaja kumwagwa hapa
Mzee hapendi ujinga[emoji23][emoji23]
 
leo nimepita jikoni nikamuona sisimizi anapita kwenye kabati nikamuekea sukari akaisogelea akairamba alivyoenda kuwaita wenzake na mimi nika nikaitoa ile sukari ili wenzake wamuone kua yeye ni muongo[emoji12][emoji13][emoji13]
 
Sisi waafrika kuna vitu kama vitatu (3) hatuvijui, tungekuwa tunavijua tungeendelea kama Ulaya, Asia na America.
[emoji117]Hivyo vitu vitatu vyenyewe mimi pia sivijui kwa sababu mimi mwenyewe ni muafrika[emoji12][emoji23][emoji23]
 
MAMA:we huna adabu ndio nn kuingia kwenye chumba cha mama yako bila ya hodi ungenikuta niko uchi navaa
MTOTO:siwezi kukukuta uchi
MAMA:kwanini
MTOO:kabla sijaingia chumbani hua nachunguliaga kwenye tundu la funguo kama nikikuonaga uchi hua siingiagi[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jinsi ya kutengeneza pesa Jamii Forum
1. Nenda setting
2. Chagua "delete my account"
3. Bonyeza confirm
4. Subiria dk5 utapokea msg ya M-PESA[emoji12][emoji13][emoji13]
 
* *Kichina kimefanywa rahisi**
Jifunze kuongea Kichina ndani ya sekunde 30 kwa kusema maneno haya haraka haraka.*MY SHOE SHALL SOON SHINE*
Rekodi sauti halaf tuma
*sipendagi ujinga mimi*[emoji23][emoji23]
 
JAMAA:Otea nime kununulia nini kwenye sherehe yako ya kuzaliwa
DEM:Jamani baby umeninunulia nini
JAMAA:Unakumbuka ile gari ya sikuile mpaka ukasema umeipenda rangi yake
DEM:Ooh mpenzi ndio umeninunulia gari kama ile oh ilove you i never let you go ndio maana nakupenda mwaaa ilove you so much
JAMAA:Hapana sijakununulia gari nime kununulia mswaki rangi kama ya ile gari[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu watatu walienda kuposa kwa mzee kwasiku moja, akaamua kuwapima nani anafaa kuoa binti yake
MZEE:unaitwa nani?
MTU1:naitwa muhammad
MZEE:jina zuri na pia ipo sura msahafuni sura hiyo naomba unisomee
MTU1:dah sijui
MZEE:basi ushamkosa binti yangu na wewe
MTU2:naitwa yusuf
MZEE:Jina zuri na ni sura msahafuni isome
MTU2:Sijui mzee
MZEE:ushamkosa na wewe
MTU3:naitwa ALIF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MLEVI: wanao fanya mambo maovu siku ya mwisho watalia na kusaga meno"
KIBOGOYO: Kwa sisi tusiokuwa na meno tutasaga nini
MLEVI: Ufizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalimu wa somo la kiingereza alingia darasani na kuuliza.
MWALIM: Dada kwa kiingereza anaitwa SISTA, je kaka anaitwa nani?
MWANAFUNZI: anaitwa PADRE
Wanafunzi wote wakaangua kicheko darasa zima huku mwalimu akiwa haamini jibu lililo tolewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ya jumapili padri aliuliza.
PADRI: nani anataka kuombewa?
"hamna hata mmoja aliye jitokeza, ndipo alipotokea pedeshee na kusema
PEDESHEE: jamani padri anauliza nani anataka kuombewa kwa siku ya leo?
"dogo mmoja akanyoosha, pedeshee akampa yule dogo Shs 300,000
PEDESHEE: akauliza tena nani anataka kuombewa kwa siku ya leo.
Kila mtu akanyoosha, Pedeshee anamuangalia padri amwambie tumekubali wote anakuta Padri nae amenyoosha mkono[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyani alichoka kuishi akatafuta njia yoyote ajiue.
Akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe,
Akamshika machuchu mpaka simba akaamka:-
SIMBA: Ni nani huyo?
NYANI: Ni mimi nyani kwani vipi?.
SIMBA: Kuna yeyote alieona ukinifanyia hivi?
NYANI: Hapana.
SIMBA: Basi fanya tena, kwanza mume wangu siku nyingi hajanishika beby[emoji12][emoji13][emoji13]
 
Leo nimepulizia Air Fresh yenye harufu ya pilau nyumbani kwangu sasa watoto wa jirani wamehamia mlangoni kwangu ndio wanacheza hapo kila nikitoka wananisalimia.
Mama yao ndio kanimaliza kabisa nimetoka akaniambia kumbe wewe ni Mpishi mzuri, Hongera[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa aliandika kwenye Insta AHSANTE MUNGU LEO NIMEPOKEA MSHAHARA WANGU, kakaa dakika mbili anaona baba mwenye nyumba ka like[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…