Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

NANI BINGWA WA KUSAHAU?
1: Aliyekuwa anasafiri alipofika stendi akasahau anakwenda wapi.
2: Aliyeingia hotelini baada ya kukaa akasahau kama amekula au la.
3: yule mwanafunzi aliyefika shule akasahau anasoma darasa la ngapi.
5: Mchezaji aliyeingia
uwanjani baada ya mpira kuanza akasahau anachezea team gani.
5: Bibi harusi aliyeambiwa na Mc amtafute bwana wake ukumbini ili amtambulishe akawa amemsahau[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
John alichelewa shule sana.
MWALIMU: Kwanini umechelewa?
JOHN: Baba na mama walikuwa wanagombana.
MWALIMU: Sasa ugomvi wao wewe unakuhusu nini!?
JOHN: Haunihusu ila mama alikuwa anampiga baba na kiatu changu, nilikuwa namsubiria amalizie nikivae halafu ndio nije shule[emoji12][emoji13][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wawili walienda railway station wakakuta train ndio inaondoka wakaanza kuikimbiza mmoja akafankiwa kuipata "alieachwa akawa anacheka", watu wakamuliza unacheka nini wakati umeachwa? akasema yule aliepanda alikuwa ananisindikiza mimi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alifiwa na mkewe,baada ya maziko akamwona
jamaa mwingine ambae hakuwa anamfahamu analia kwa uchungu sana, na hata kujigaragaza kwenye kaburi la marehemu, akamuuliza jirani yake Juma,
MUME: Aise Juma huyu ni nani mbona ana uchungu sana?
JUMA: Swali lako gumu lakini kiukweli huyo ndio alikuwa anakuibia mkeo, mume akamfuata yule jamaa
MUME: Pole bwana usisikitike sana, nitaoa tena[emoji12][emoji13][emoji13]
 
Police: unaishi wapi?
John: na wazazi wangu
Police: wazazi wako wanaishi wapi?
John: wanaishi na mimi
Police: Nyie wote mnaishi wapi?
John: tunaishi pamoja
Police: nyumbani kwenu wapi?
John: karibu na kwa jirani yetu
Police: kwa jirani ni wapi?
John: nikiwaambia hamtaamini
Police: tuambie tu
John: karibu na kwetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mmoja tajiri alichungulia nje kupitia dirishani na kumwona kijana mmoja akiokota
kitu kutoka katika shimo lake la takataka, Yule
tajiri akamwambia MUNGU, “Asante MUNGU kwa kuwa mimi sio masikini”

Yule kijana masikini akamwona kichaa
mmoja akiwa anatembea tembea ovyo mtaani huku
akiwa uchi, kijana akamwambia MUNGU, “Asante MUNGU kwa kuwa mimi sio kichaa”

Yule kichaa akaangalia upande wa pili na kuona gari la mochwari likiwa limebeba maiti. Kichaa akamwambia MUNGU, “Asante MUNGU kwa
kuwa mimi sijafa”

Katika kila hali huna budi
kumshukuru MUNGU
wako kwa kukufanya uwe hivyo[emoji120]
 
Dogo janja alipelekwa hospitali na baba yake, baada ya vipimo Doctor akawa anamuandikia dawa, baba yake akatoka nje kuongea na simu.
Mtoto akamwinamia Doctor na kusema kwa sauti ya chini:- "Doctor Kwenye dozi ya dawa niandikie na FANTA BARIDII, CHIPS na MISHIKAKI kutwa mara 2 kwa siku 30 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MTOTO: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako (V8) house boy/girl akaliendesha?
BABA: Siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe kwani nimenunua kwa fedha ghali sana.
MTOTO: Je? Mnaweza kumwachia mali zenu house boy/girl zote wazitumie?
MAMA: Haiwezekani kumuachia kwa kuwa atatuacha katika hali ngumu ya maisha.
MTOTO: Unaweza kumpa house boy/girl namba yako ya siri ya Bank?
BABA: Wewe mtoto wewe unatafuta balaa sasa, unataka achukuwe pesa zote atuache katika hali ya umasikini sisi hapa.
MTOTO: Sasa Wazazi wangu nimeelewa kuwa hamuwezi kuwa kabidhi kitu chochote chenye thamani house boy/girl?
BABA & MAMA: Ndiyo mtoto wetu hatuwezi kuwa kabidhi vitu vya thamani.
MTOTO: Sasa kwanini mnanikabidhi mimi kwa house boy/girl na nyie mnaenda kazini mpaka mnarudi jioni kumbe mimi sina thamani kwenu [emoji12][emoji13][emoji13]
 
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi!!
MME: Ooh! Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo!
MKE: Unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi
mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi.
MKE: Utanibusu milele?
MME: Kila mara.
MKE: Je, utanipiga?
MME: Aaaa haiwezi tokea!
MKE: Naweza kukuamini?
MME: Naam.
MKE: Jamani mpenzi!
Sasa ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje??
Soma kuanzia chini kwenda juu sasa uone[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini
HII INAITWA DHANA
YAUSHAWISHI - kubadilisha
njia ya kawaida ya kufikiria
••••••••••••••••••••••
Kuna dada kwa woga akawa amelala chini kimitego, Jambazi
akamwambia, "dada hebu kuwa na adabu chukua kanga jifunike hili ni tukio laujambazi na sio la ubakaji.”
HUU UNAITWA WELEDI -
zingatia ulichofundishwa
kufanya
•••••••••••••••••••••••
Walipotoka kwenye wizi
jambazi mdogo ambaye
anashahada ya uzamili ya
biashara akamwambia
mwenzake, "tuzihesabu hizi fedha.” Yule mkubwa akamcheka kwa dharau na kumjibu, "wewe mjinga sana hizo hazina haja
ya kuhesabu saa mbili
watatutangazia kwenye
taarifa ya habari tumeiba
kiasi gani.
HUU INAITWA UJUZI - Siku
hizi ujuzi ndio bora kuliko
vyeti
•••••••••••••••••••••••
Baada ya majambazi kuondoka meneja akamwambia mhasibu wa bank, "ujumlishie na zile milioni 80
tulizo iba sisi.”
HUKU KUNAITWA KUOGELEA
NA MKONDO WA MAJI -
kushabihiana na mazingira
magumu kwa faida binafsi.
•••••••••••••••••••••••
Mhasibu akafurahi na
kusema, "dah wizi ukitokea kila mwezi itakuwa burudani sana.”
HUKU KUNAITWA KUWA NA MAWAZO CHANYA - Furaha ndio kitu cha muhimu zaidi
•••••••••••••••••••••••
Meneja kafurahi sana kwakuwa sasa matatizo yake yametatuliwa na wizi uliojitokeza. HUKU KUNAITWA KUTHUBUTU-shikilia nafasi pale inapojitokeza hata kama
ni hatari kiasi gani.
•••••••••••••••••••••••
usiku wake taarifa ya habari
ikatangaza kuwa wizi
mkubwa sana wa million 100 umetokea leo benki.
Majambazi kuskia hivyo
wakaanza kuhesabu zile pesa lakini wakajikuta na milioni 20 tu. Yule jambazi mkubwa akashtuka na kusema, "dah!yaani meneja kaiba mara nne zaidi yetu bila kuchezesha msuli? Bora umeneja kuliko ujambazi. HII INAITWA ELIMU NDIYO KILA KITU - ishike sana elimu
ina nguvu kuliko dhahabu[emoji120]
 
IPI INAUMA ZAIDI:
1. Kuitunza mimba kwa miezi 9 halafu mtoto anafariki siku ya kujifungua.

2. Kuishi na mpenzi wako miaka mingi baadae unakuja kugundua anatembea na mzazi wako.

3. Kutumia pesa nyingi kumsomesha mtoto wako tangu nursery mpaka chuo baada ya siku ya graduation anafariki.

4. Kusomesha mpenzi baada ya kumaliza chuo anaolewa na mtu mwingine.

5. Kuoa mke na baada ya talaka mnagawana mali yako sawa kwa sawa[emoji12][emoji13][emoji13]
 
WAKIWA MBUGANI BABA NA MWANAWE.
MTOTO😀ady ona ile mnyama
BABA: yule mnyama anaitwa nyani
MTOTO:Na zile kitu za blue ni nini?
BABA:Ni tyre zile
NYUMBANI BABA KAJIFUNGA KATOKA SAFARI KAJIFUNGA TAULO AMETOKA KUOGA MARA KAKAA VIBAYA
MTOTO:Baba tyre zako zimeisha upepo[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mbavu zanguuuu
 
JAMAA: nakupenda
DEMU: nakupenda pia

JAMAA: I love u
DEMU: I love u too

JAMAA: I miss u
DEMU: I miss u too

JAMAA: Nakutumia 100000 MPESA
DEMU: nakutumia too[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna bucha iko hapa kwetu nina wasiwasi nayo wanauza nyama ya punda, nimenunua robo nimekula chakula cha mchana, mpaka muda huu najiskia kubebea watu mizigo tu [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee mmoja tajiri alikwenda Sumbawanga kutafuta waganga kwa ajili ya biashara zake, wakiwa wapo ndani ya gari kila mganga akataka kuonyesha uwezo wake,
MGANGA wa 1: Akaonyesha kidole juu mara mvua ya maana ikanyesha, akarudia tena ikaacha, Mzee akapagawa!!
MGANGA wa 2: akakohoa Tair zote Zapata pancha na bado gari mwendo uleule!!. akarudia tena pressure ikajaa Mzee mwenye gari akatangaza ubingwa kwa yule mganga wa pili. Walipokaribia Dar wote wakiwa na furaha.
MGANGA 3: akasema maneno wote wakajikuta bado wapo Sumbawanga wanaanza safari upya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa aliua watu 25 kwa ajali alipokuja traffic kupima ajali mambo yalikuwa hivi;
TRAFFIC: ilikuwaje ukagonga watu wote hawa?.
JAMAA :nilikuwa spidi ghafla nikaona kundi la watu kushoto na mtu mmoja kulia na sina breki ungekuwa wewe traffic ungefanyaje?
TRAFFIC: ningemgonga yule mmoja kuokoa wengi.
JAMAA: ndivyo nilivyo kusudia lakini yule mpuuzi alikimbilia kwa watu wengi akafikiri sijamuona, nikamfuata kulekule ndipo nikawagonga wote. [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom