supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Mzee mmoja alimwandikia barua mjukuu wake aliyekuwa gerezani.
MJUKUU wangu,msimu huu ctoweza kupanda mahindi kwa kuwa cna nguvu ya kulima na wewe ambaye ungenisaidia upo gerezani.
MJUKUU wake kupata ile barua akamjibu BABU USITHUBUTU KULIMA LILE SHAMBA MAANA ZILE MIL 80 NILIZOIBA NIMEZIFUKIA HUMO SHAMBANI. mapolisi walipoisoma ile barua ikabidi waende kulitufua shamba lote,kumbe hakukuwa na zile pesa wala nin.
baada ya wiki mjukuu akamwandikia babu barua sasa unaweza kupanda mahindi hata kama niko mbali ninaweza kukusaidia babu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]