ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa.
MDADA 1: najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta rangi la lipstick kwenye kola ya shati lake.
MDADA 2: hata wangu nimekuta condom kwenye mfuko wake wa suruali nilichofanya nikachukua pini nikazitoboa toboa zote halafu nikazirudisha kwenye mfuko.
MDADA 3: ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia. [emoji12][emoji13][emoji13]