Whatsssssss!!!!!!!!!????

Mchungaji kamfuata pedeshee mmoja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki;
MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu atakubariki zaidi
PEDESHE: Samahani Mchungaji haitakuwa vizuri mimi kuchangia kanisa, fedha zangu ni haramu, huwa nazipata kwa utapeli na kuuza madawa ya kulevya.
MCHUNGAJI: Yote ni heri, pesa yako tutatumia kwa kujenga eneo la choo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WAKIWA MBUGANI BABA NA MWANAWE.
MTOTO😀ady ona ile mnyama
BABA: yule mnyama anaitwa nyani
MTOTO:Na zile kitu za blue ni nini?
BABA:Ni tyre zile
NYUMBANI BABA KAJIFUNGA KATOKA SAFARI KAJIFUNGA TAULO AMETOKA KUOGA MARA KAKAA VIBAYA
MTOTO:Baba tyre zako zimeisha upepo[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MWALIMU: Watu wangapi wangependa kwenda mbinguni?
WANAFUNZI: wote wakanyoosha wakaitikia na kunyoosha mikono isipokuwa mmoja.
MWALIMU: wangapi wangependa kubaki?
Hakuna aliyenyoosha mkono.
MWALIMU: akamuuliza yule ambae hakunyoosha mkono, wewe ungependa kwenda wapi?
MWANAFUNZI: Nataka kwenda nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
DOKTA:Unavuta sigara?
JAMAA:Ndio
DOKTA:Kwa siku sigara ngapi?
JAMAA😛akti 1
DOKTA😛akti bei gani?
JAMAA:2500
DOKTA🙁Anapiga mahesabu) kila siku unavuta?
JAMAA:Ndio
DOKTA:Hizo 2500 ungekuwa unaweka, sasa hivi ungekuwa na gari.
JAMAA: Sawa, ila dokta wewe unavuta sigara?
DOKTA:Hata siku moja sijawahi na sitowahi.
JAMAA: Gari lako liko wapi [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
JAMAA: Dokta nina matatizo kwenye uume huku chini ila naomba usinicheke.
DOKTA: Haya funua siwezi kukucheka sababu ni kazi yangu.
JAMAA: (akafunua) angalia dokta
DOKTA: Kauona uume wa jamaa ulivyokuwa mdogo kama betri ya rimoti ya Tv akaanza kucheka mpaka machozi[emoji23][emoji23][emoji23]
DOKTA: (baada ya kucheka sana) sasa tatizo nini?
JAMAA: Kimevimba tangu juzi
DOKTA: Kazimia
[emoji117]Team kibamia mpooo[emoji12]
 
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani.
MPISHI: Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?
MCHAGA: Yesuu! hivi inawezekana? basi fanya hivyo tuwauzie na wengine hiyo ringtone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.
Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.
Meneja akaja kuwasikiliza
BABU: " Kwanini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"
MENEJA: kuna maswiming puli, ya kisasa
BABU; Lakini hatukuyatumia"
MENEJA: "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"
BABU: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"
MENEJA: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"
BABU: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
MENEJA: "Ndiooo. Lakini mngeweza kama mngetaka"
BABU; Isiwe shida na kumwambia mkewe andika cheki uwape,
Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000
Akashangaa na kusema. "vipi mbona hamsini'"
BIBI: 450,000 ya kulala na mimi"
MENEJA: Lakini sijalala!
BIBI: ungeweza kama ungetaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MAMA: vipi mwanangu mbona unarudi huku unalia?
MTOTO: nimekutana na wahuni
MAMA: wamekufanyaje hao wauni?
MTOTO: wameniambia nipande juu ya mti
MAMA: usijali walitaka kukuchungulia pichu yako
MTOTO: walidhani mimi mjinga nimevua pichu kwanza ndio nikapanda juu ya mti[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ALI: Mambo mrembo
JANE: Safi
ALI: Nimekupa muda leo siku ya 3, vipi kuhusu jibu langu?
JANE: Nikikukubalia utanipa nini
ALI: ukinikubalia nitakupa hata mimba[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mwalimu wa English darasani.
TEACHER: Who is a pharmacist?
MWANAFUNZI:Yes, sir. a Pharmacist is a farmer who assists people. [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria nimeona leo nije nikupe kwani umeonyesha uvumilivu sana, je utakuwa nyumbani nije?
Jamaa akafurahi sana akashika simu akaandika "Ndio nipo mpenzi njo...." kabla hajatuma kibaka akakwapua simu,
Jamaa akatoa kichwa dirishani na kupiga kelele " we mwizi bonyeza send, bonyeza send, bonyeza send[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "Joshua? Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu "Umeme umekatika mzee..."[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Masai alipeleka redio yake kwa fundi, ilipofunguliwa ili itengenezwe, wakatoka mende weeengi, masai alivyoona hivyo akamwambia fundi ''KAMATA HAO WATANGASAJI" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MTOTO: baba unaitwa shule
BABA: kuna nini?
MTOTO: sijui wewe twende
BABA: haya hebu twende
MWALIM: karibu mzee, mwanao tumemuuliza Kampala ipo wapi kashindwa kujibu
BABA: kamgeukia mwanae akamzaba kibao kwa hasira na kumwambia wewe nilikukataza kuchezea vitu vya watu, haya kampala ya mwalimu iko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya nyumba yake kubomoka kwa upepo mkali, Mwanamama aliyesota mtaani kwa wiki moja avamia ofisi za airtel na kuzua tafarani kubwa alipoondolewa, kisa ni lile tangazo la hamia airtel. huku akitokwa machozi alisema: mimi sina nyumba na bosi wenu kaniambia kwa njia ya redio nihamie hapa[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alipata ajali macho yakapasuka yote. Akawekewa macho ya paka. Akaulizwa vipi unaona?? Akajibu ndio lakini naona PANYA TU! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JE NANI MKALI KATI YA WACHAWI HAWA WATATU?
1) Alizama baharini kwa muda wa dakika 30, akaibuka akiwa mkavu kabisa.
2) Alizama baharini na mshumaa unaowaka kwa muda wa dkk 30. akaibuka nao ukiwa unaendelea kuwaka.
3) Alitandika mkeka juu ya bahari akalala, alipoamka asubuhi akaanza kukung'uta vumbi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
PersonaLLY
UbwabwaticaLLY
i see what u do
Tena na kachumbaLLY get me want its Umepikwa mbaLLY so giv 2 me give 2 me
VinywajivicaLLY
BiaticaLLY
KonyagicaLLY
u gave me waLLY na
ChuzizitocaLLY
PilipilicaLLY
FulnyamaticaLLY[emoji441][emoji450]
[emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JAMAA: waenda wapi?
DEMU :nampeleka huyu rafiki yangu kwao kuna harusi
JAMAA: Basi ukawe makini huko beby wangu
DEMU: Mimi kweli!! (akijishebedua) niko na condom kama mtu hataki kutumia simkubalii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…