Mume na mke kila siku kushindana kwenye familia mpaka maisha yakawa kama yanaboa maana kila kitu kidogo lazima washindane. Mume aliudhika sana maana kila siku mke ndo anashinda.
Siku moja mume akaenda bar, akaanza kupiga stori na mshikaji wake, akamwambia bhana mimi kila kitu tukishindana mke wangu lazima anishinde, hebu nishauri nifanye kitu gani nimshinde??
Mshikaji akatoa idea kwamba ukirudi nyumbani, mwite mkeo nje, anzeni kukojoa kwenye ukuta wa nyumba halafu angalieni nani karusha mkojo juu zaidi ya mwenzake ukutani.
Mme aliporudi nyumbani akamwita mkewe zoezi la kukojoa ukutani likaendelea, mke akaanza, akawa kafikia mita mbili.
Ikafika zamu ya mume, ile anafungua zipu mke akamwambia, anza lakini hakuna kushika kwa mkono [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]