Whatsssssss!!!!!!!!!????

Mlevi karejea kwake usiku kamkuta mkewe kalala na pichu yenye kimkanda tu kwa nyuma(bikini). Jamaa kaanza kucheka mpaka mkewe akaamka.
MKEWE: Unacheka nini?
MLEVI: tangu nizaliwe hii ndo mara yangu ya kwanza kuona makalio yamevaa kandambili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wahindi wa 3 walikua wanasimuliana juu ya Magereza ambayo wamewahi kufungwa:- Muhindi 1: Bana gereza ya ukonga mbofu sana nakula arage naoza!!!.
Muhindi 2: Wee Segerea bana napiga kazi kama watumwa see!
Muhindi 3: Acha ukonga na segerea wewe, Maweni Tanga bana! watu nagombania wewe kama ya mke yao ila fungwa yote naogopa mimi najua amrish puri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya madenge kufaulu mtihani wa kidato cha 6,
BABA: mwanangu chagua zawadi nzuri nikupe kwaajili umenifurahish sana
MADENGE: naomba unirushusu nitoe mahari nimuoe bibi sababu bibi kila siku ananiita mimi mchumba!
BABA: mpuuzi sana wewe unataka umuoe mama yangu mzazi??
MADENGE: lakini baba mbona wewe umemuoa mama yangu mzazi?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JAMAA: I Lov u sweetie.
BINTI: i lov u 2, ila tupendane tu, mambo ya ngono sitaki nakutunzia mpaka utakapokuwa mume wangu.
JAMAA: Hilo si tatizo, na mimi mambo ya kuniomba pesa sitaki nakutunzia mpaka utakapokuwa mke wangu.!
BINTI; jamani baby hutaniwii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HABIB AL_MASAD FIL_KUBUL AAJAB SHAITWAN MAUJIZAT BILKUFURU MANTAFYAKA.
Dua uliyosoma ni dua ya kumuita popobawa sasa leo kazi unayo. [emoji12][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gulo na Fulo waliokota mabomu ma 3 porini wakati wanatafuta uyoga.
GULO: Tuyapeleke polisi
FULO: Mi naogopa ,je moja likitulipukia?
GULO: Tutawadanganya polisi tutasema tuliokota mawili tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba mmoja alikuwa bahili sana;
BINTI: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka kaninyoa nywele
MAMA: Ninavyomjua baba yako alivyobahili, ungemuomba hela ya kununua mswaki angekung'oa meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
GULO: Mi naacha shule.
FULO: Kwanini?
GULO: Waalimu wajinga kweli umesikia mwalimu wa jografi kasema nini leo?
FULO: Kwani kasemaje?
GULO: Eti kasema jua ni nyota [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23]
 
Siku moja nilikuwa naongea na Digidigi:
DIGIDIGI: Nakumbuka mara ya kwanza nilivyotumia pombe ili nisiendelee kufatafata mabinti
MIMI: Enhe! Ikawaje?
DIGIDIGI: Ofisi zangu zikanasa katika shingo ya chupa ya bia [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mmoja mwenye mke alikuwa na mahusiano na sekretari wake. Siku moja walipotoka kazini akajisahau na kuondoka na sekretari wake nyumbani kwa sekretari.
Baada ya kazi zilizowapeleka kule kuisha akapitiwa na usingizi na kushtuka saa mbili usiku. Yule jamaa akamwambia yule sekretari achukue viatu (vya mwanaume) avisugue sugue katika nyasi hadi vionekane vina rangi ya kijani kijani. Kisha yule jamaa akachukua shati lake na kurudi nyumbani. Alipofika nyumbani na kumkuta mkewe mazungumzo yalikuwa kama yafuatayo;
MKE: Ulikuwa wapi tangu ulipotoka kazini saa nane mchana?
MUME: Mke wangu siwezi kukudanganya hata kidogo, nilikuwa nyumbani kwa sekretari wangu mimi na yeye tunakula raha na baada ya hapo nikapitiwa na usingizi na kuamka saa mbili usiku. Hicho ndo kilinifanya nichelewe
Mke akaangalia chini na kuona viatu vya mumewe vina mikwaruzo ya nyasi, akafoka na kusema;
MKE: “Muongo mkubwa wa ulikuwa Jimkana unacheza gofu halafu unanidanganya ulikuwa kwa sekretri wako. [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia.
JAMAA wa 1: yeye aliomba auliwe haraka haraka sasa hivi bila maumivu makali. Wale majinamizi wakakubali ombi lake na kumpulizia nusu kaputi kisha wakamchoma sindano ya sumu.
JAMAA wa 2: akaomba karatasi na kalamu aandike salamu zake za mwisho kwa familia yake, naye ombi lake likakubaliwa.
JAMAA wa 3: kwani ngozi zetu zinatumika kufanyia nini?”
WACHUNA NGOZI: zinatengenezewa ngoma za kuleta utajiri” yule jamaa akatikisa kichwa kumaanisha ameelewa kisha akaomba kiwembe kikali, wale wachuna ngozi wakashangaa kwa nini anaomba kiwembe badala ya kuomba kitu muhimu kwa wakati kama huu, hata hivyo wakampa kama walivyoahidi. Yule jamaa akachukua wembe na kuanza kujichana chana mwili mzima huku akipiga kelele sana nyie yaani ngozi yangu mnataka muiwambie ngoma, tuone sasa naitoboa yote kama mtapata mteja” [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alienda kwa daktari kueleza shida yake.
JAMAA: Daktari mimi natamani saaana kuishi muda mrefu, nambie nifanyeje!
DOKTA: Umeoa?
JAMAA: Hapana bado
DOKTA: Nenda kaoe
JAMAA: (Kwa mshtuko wa furaha) Ndo ntaishi muda mrefu!?
DOKTA: Hapana, hautaishi muda mrefu ila tatizo la kutamani kuishi muda mrefu litaisha [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kichaa alipita uchi mbugani, wanyama wote wakakimbia. Fisi akamuuliza Simba "hata wewe umekimbia?" Simba akajibu "yule mnyama ni wa ajabu, mkia wake uko mbele!" [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UNATAKA KUONDOA KITAMBI? FANYA HAYA;
1.Kopa mkopo mkubwa benki then majembe auction mart ndo wawe wafuatiliaji.
2.Nunua gari bovu la biashara
3. Oa mke mwenye kelele miezi 3 tu,
[emoji117]ukiona hakijaisha basi umevimba BANDAMA huna kitambi wewe! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa aligombana na mkewe na kususa kula, aliporudi kazini akamkutaa mkewee kavaa khanga zimeandikwaa 'UKISUSA WENZIO WALA' ilipo fika siku mkewe akachukua karata MZUNGU WA NNE, alipoamka asubuhi mkewe akavaa khanga imeandikwa 'UKITOKA WENZIO WANAINGIA'
jamaa akagoma kwenda kazini. mkewe akavaa khanga imeandikwa 'HAMNIWEZI NIMEMDHIBITI NDIYO MAANA HATOKI NDANI' jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akamwambia twende nyumbani, wakamkutaa mwanamke kavaa khanga imeandikwa' SHEMEJI ENDELEA KULA KAKA YAKO KASUSA [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mwalimu aliandika sentesi ubaoni"NILIUA MTU" badilisha sentesi hii kuwa wakati ujao.
Zuzu akajibu kwa wakati ujao"Utakwenda jela! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu, unaenda kuoga unakumbuka umesahau sabuni.
unaenda kuchukua sabuni unafika bafuni unakuta ng'ombe kanywa Maji yote.
Unaenda kuchukua maji mengine, pale unarudi bafuni unakuta mbuzi kala sabuni [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mke na mume walikuwa wamelala ghafla mume akaanza kupiga kelele akiwa usingizini asubuhi ilipofika:
Mke akamuuliza mume wangu mbona ulikuwa unapiga kelele usiku au ulikuwa unaota unakimbizwa??
Mume: yaani bora ningeota nakimbizwa hata na simba mke wangu, lakini nimeota nampigia tena kura Trump [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale unapoamka asubuhi hujisikii kwenda kazini, unaamua kutuma ujumbe kua unaumwa, mida ya saa 5 unampigia simu demu wako na anakuja geto, mnajifungia ndani kimyaaaa, Mara mlango unagongwa kwa jeuri unajibu "nani we unagonga kama kwako?" Unatoka na kwenda kufungua, USO kwa USO unakutana na wafanyakaz wenzako wakiwa na boss wako wamekuja kukujulia hali huku wamekubebea mijuisi na matunda, unawakaribisha ndan wanalikuta goma lako limejilaza khanga moko hoooii, hapo ndipo sura yako itafanana na ya mourinho anapomtazama pogba
*Wafanyakazi wenzako hawapendi ujinga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU KIDATO CHA SITA SAA 12ASUBUHI
BABA; baba, unaamka sasa
hivi au unalala lala kidogo
MTOTO; Hapana baba nimechoka nitaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia SCANDAL
BABA; Haya baba basi kuna elfu 30 nimemuachia mamaako kama utajiskia kutoka utaitumia kama nauli
MTOTO; Baba si uniachie zile funguo za rav4!!
BABA; Haina tatizo utaenda kuchukua pale chumbani kwangu usipoziona mwambie mamaako akupe, halafu sidhani kama hiyo pesa itakutosha kwa ajili ya mafuta upitie pale ofisini nikuongeze pesa.

SASA HII NDIO LUGHA KWA WALE WA 4 NA 0 SAA 12 ALFAJIRI
BABA: We nguruwe umelala tu mpaka saa hizi ivi unajua bei ya hilo godoro, kazi kupata maziro tuu kwa kulala lala lione, hebu amka unioshee gari niende kazini nyambafu wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…