Whatsssssss!!!!!!!!!????

Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao:
TINA: mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu.
MWALIMU: Safi, haya juma
JUMA: Baba yangu dereva mama yangu hafanyi kazi.
MWALIMU: Vizuri, haya Zogo.
ZOGO: Mimi mama yangu malaya anajiuza baba simjui.
MWALIMU: Mpuuzi wewe, nenda ofisini kwa mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi wote uliosema hapa.
Zogo anaenda ofisini anarudi huku anatabasamu na anakula biskuti.
MWALIMU: Mwalimu mkuu kakupa adhabu gani?
ZOGO: Kaniambia nimpe namba ya mama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MUME MLEVI: Mke wangu kumbe mlango wa chooni siku hiz ni automatic
MKE: kwa nini mume wangu
MUME: nimeufungua tu taa zikawaka nimemaliza kukojoa nikafunga mlango taa zikazima
MKE: Pumbavu wewe na Leo tena umekojoa kwenye friji!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana baada ya kukosa usingizi nikakumbuka maneno ya wahenga "ALALAE USIMUAMSHE UKIMUAMSHA UTALALA WEWE" nikaenda zangu kwenye kambi ya jeshi nikakuta wanajeshi wawili wamelala nikawamwagia maji.
Sasa hivi niko zangu muhimbili nimelala sina tatizo na mtu [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Heluwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika namba zangu angu (07582000***) halafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma, mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Alinisunyaaaa!!! ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boy : baby mambo, leo unakuja,kama
tulivyoongea jana?
Girl : Ndiyo my..
But baby Nikwambie kitu...
Boy : sema mpnz
Girl : Sasa mimi nitakujaje, nywele zipo hovyo sijaosha, wala kuset.. Alafu baby
kucha zangu sijasafisha..
Nitumie pesa kidogo Kama 150,000/=
hivi niende saloon..
Boy : Poa usijali subiri...
M-PESA : imethibitishwa 155,000/= salio lako jipya la M-PESA ni shilling 155,250/
=....
Boy : Umeiona mpnz?
Girl: kimya
Boy : Mmh mbona hujibu?
Girl : Ooh sorry, my nimeiona, nilikuwa namuandalia baba chakula, ndiyo
amerudi muda huu toka safari...
Mmh alafu sijui Kama ntaweza kutoka
baby coz baba alivyorudi amenisema,
juzi nilivyochelewa kurudi home, mama
kamwambia kila kitu... 100(customer care Vodacom) : Karibu
katika huduma ya watu waliotuma pesa
kimakosa kupitia M-PESA...
Boy : Samahani nimetuma shillingi
155,000/= kwenda number xxxxx,
naomba mnisaidie kuirudisha tafadhali... 100(customer care Vodacom) : OK subiri
ombi lako linashughulikiwa na
utarejeshewa kiasi hicho ndani ya masaa
24...
Girl (SMS imeingia toka M-PESA) :
Imedhibitishwa kiasi cha shilling 155,000/= kilichotumwa kimakosa
kimerudishwa, salio lako jipya la M-PESA
ni shilling 250/=
Girl : Sasa baby ndiyo nini hivyo...
Boy. Sio Mimi ni voda ao wamenionea uruma unavyo nichuna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uswahilini bhana, unatoka na demu gheto alafu watoto unasikia mambo Uncle unajibu poa, kidogo unasikia..hata sio mzuri kama wa jana
Hawa madogo hawapendagi ujinga!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanisani, Mchungaji kasema, "DO ONE THING TO SURPRISE GOD"
Jamaa mmoja akakimbia na kikapu chenye sadaka!
Huyu muumini hapendi ujinga!!! [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku moja MWANAMKE mmoja tajiri aliandika kwenye INSTAGRAM yake kwamba ''ANAHITAJI MWANAUME AMBAE HATOMPIGA WALA KUKIMBIA NA HELA ZAKE'' baada ya mda alipata comment nyingi sana toka kwa wanaume mbalimbali,
baada ya siku kupita kuna mgeni alienda kwake akabisha hodi na KUGONGA mlango sana, kufungua akamwona mtu ambae hana MIKONO WALA MIGUU.
MDADA: nikusaidie nini!??
JAMAA: niliona tangazo lako insta unataka mwanaume ambae hatokupiga na mimi si unaniona sina mikono ya kukupiga wala miguu ya kukimbia na hela zako
MDADA: sawa! kisha akamuliza je, kitandani mambo unayaweza??? JAMAA: unadhani huu mlango nimegonga kwa kutumia nini?? [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
JAMAA: wasichana wa 3 walikuwa wanaoga sehemu moja, ghafla akatokea mvulana;
Msichana wa 1: akaficha maziwa yake,
Msichana wa 2 akaficha sehemu zake za siri,
Msichana wa 3 akaficha uso wake,
Je ni msichana yupi ametumia hekma??
MLEVI: wako wapi usinibanie, hebu nipeleke kwanza nikapige chabo [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…