Hahahahaha Noma kweliii[emoji3]Madem mnavaa earings kwa masikio, mapua, ulimi, kitovu, sijui kwa uso.manecklaces ka mia mbili bangili mikononi handbag nayo ina makorokoro elfu2..sasa itokee ujikwae udondoke unatoa sauti kama kabati la vyombo limedondoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] oleleee[emoji445]Tangu ni nunue blender maisha yamekuwa shwari! Ile kitu inanibamba nayo sana ni nikitaka kupika uji asubuhi naweka maji ya moto then natupia ugali wa jana hapo ndani.then drrrrrrrrrrr
UJI TUNAO HATUNA.!??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pumzika tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nipumzishe mbavu zangu ndio kwanza nipo page ya tatu.
Mkuu supermarket nimekuelewa kinoma yani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haki ya mbuzi na mkia wake!!! daaah!!! Namba yako nnayo mkuuKuna wachaga wamezoea biashara kila mda wanawaza biashara tuu..
Namuuliza sasa hivi ni saa ngapi??
Akanijibu..ni saa 6 kamili ila kwa kuwa we ni mtu wangu ntakufanyia saa tano na nusu!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa Umezingua mkuu!!! [emoji53][emoji53][emoji53]Asilimia 98 ya watu wafupi huwa hawapunguzi urefu wa jeans zao, huzikunja kwa chini wakiishi kwa matumaini kwamba kuna siku watarefuka wakunjue jeans zao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naombeni ulinzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukitaka kujua kama MKEO/ MPENZI WAKO anakusachi MIFUKONI ukiwa umerudi Nyumbani, wewe weka CONDOM mifukoni utapata Jibu!!. Lazima Uamshwee[emoji125][emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] supermarket eeeh nletee matunda wodini hapa[emoji3][emoji3]Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa wenzake sasa"leo siku ya wali na shemeji jamani"[emoji23][emoji23][emoji23]