Whatsssssss!!!!!!!!!????

Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email: "Mama nina UKIMWI"
mama yake akajibu:
usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-
ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,
Mkeo atamuambukiza kaka yako, Kaka yako atamuambukiza hausigeli,
Hausigeli atamuambukiza baba yako, Baba yako atamuambukiza dada yangu, Dada yangu atamuambukiza mume wake, Mume wake ataniambukiza mimi,
Mimi nitamuambukiza dereva wetu, Dereva atamuambukiza dada yako,
Na dada yako kama unavyomjua atakiambukiza kijiji kizima. [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
CHANGUDOA: Goli moja
kitandani sh.10000, goli moja kwenye sofa sh.5000 na goli moja kwenye nyasi sh.2000.
MTEJA: chukua sh.10000.
CHANGUDOA: Kweli wewe
pedeshee, nilijua tu utataka kitandani.
MTEJA: Nani pedeshee? hiyo hela ni ya goli 5 za kwenye nyasi! [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo kanisani demu mmoja kaomba;"Eh bwana, nisaidie nipate mume jamani, lakini vunja nguvu zote zitakazo sababisha nipate mfupi, tengua mipango yote ya kuniletea mume mfupi!"
Alipomaliza tu,kukaingia jamaa mmoja mfupi saana! akakaa karibu ya huyo dem kisha naye akaanza kuomba;"Eh bwana asante kwa kunifanya billionea asante sana bwana, sasa nakuomba mke tu, naomba mwenza wa kutumia nae hii mali yote ulionipa!"
Demu kusikia hivyo akaomba tena; "Mmmh bwana naona umesikia ombi langu, nisamehe kwa kujidai ati nachagua chagua, huyu jirani hapa atanifaa tu sana!! [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shehe mmoja alikuwa akihubiri msikitini mara akamuona muumini mmoja akilia kwa uchungu sana. Shehe akajua yule jamaa amechomwa na mahubiri yake, akazidi kuongeza dozi, baada ya mahubiri shehe akamuita yule jamaa amuulize ni kipi kilichomfanya alie sana. Yule jamaa huku akiendelea kulia akasema; yaani kila
nikiziona hizo ndevu zako
namkumbuka mbuzi wangu
beberu aliyeibiwa, napata
uchungu mno mpaka naishia kulia tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Binti alirudi kijijini baada ya miaka 5.
BABA: We mwanaharamu umeondoka hapa kwa miaka mitano hukutaka kutuandikia barua wala kutuma salamu unajua ulimtesa sana mama yako?
BINTI: Baba niliona niwe kimya nilikuwa nafanya kazi ya umalaya
BABA: Ayaaaaaa umetia aibu kubwa familia yangu lohh, nitatembelea wapi mimi?
BINTI: Sawa baba, lakini
nimemletea mama sanduku la nguo na kanga 20 na pesa, na hii hapa ni hati ya kiwanja nimemnunulia. Na wewe baba nimekununulia hilo gari nililokuja nalo na nimekufungulia akaunti, ina pesa utaweza kulima vizuri na kujenga nyumba nyingine ya kisasa.
BABA: Ulisema ulikuwa
unafanya kazi gani?
BINTI: Umalaya
BABA: Unajua nilisikia vibaya nilidhani umesema Uyaya[emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
pole na kazi mwanangu
 
BOY: baby, nimesikia umefeli mtihani wa kingereza!
GIRL: who telled you? [emoji12][emoji13]
 
Machizi watatu waliamua kuunda shule chini ya mti. wakaokota vitabu wakajifanya wanasoma.
Siku ya pili wakamkuta
mmoja wao amepanda juu ya mti, anasomea huko. kuulizwa mbona
amepanda mtini?
Akajibu: mimi nipo high
school. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shehe anahubiri kanisani???

Hii ni sawa na Christmas iwe mwezi June
 
Shehe anahubiri kanisani???

Hii ni sawa na Christmas iwe mwezi June
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimeshairekebisha mkuu, nimechelewa kupost vichekesho asubuhi leo.
-Kwanza sasa hivi saa ngapi[emoji12] [emoji13]
 
Kibaka alimpiga roba bubu, akawa anamuibia simu, bubu akaanza kupiga kelele ''abaaa baaaa baaaa!!
Kibaka kuona atashtukiwa
ikabidi awapotezee raia, basi bubu akipiga kelele ''abaaa baaaa baaa'' nae kibaka anaunganisha ''prakata tumba tuuumba tuumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimeshairekebisha mkuu, nimechelewa kupost vichekesho asubuhi leo.
-Kwanza sasa hivi saa ngapi[emoji12] [emoji13]
Kabla sijakujibu hebu nambie kwanza leo ni jumangapi??
 
Mgonjwa alikuwa anaumwa
sana na rafiki yake akawa
anamshangaa kwanini haendi hospitali na ameweka picha ya daktari ukutani,
MGONJWA: nilisikia kwenye
radio kuwa maumivu yakizidi nimuone daktari!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlevi kalala na mkewe, mara ghafla akaamka na kuanza kuvaa nguo.
MKE: unakwenda wapi usiku wote huu?'
MUME: Naenda kutafuta mke wa mtu.
MKE: mke wa mtu!!
MUME: ndiyo si unajua mke wa mtu sumu, kuna kapanya kanasumbua huku ndani mpaka nimeshindwa kulala!" [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa na mzungu kwanye banda la mihogo ya kukaanga wakiwa wanakula ghafla jamaa muhogo ukamkwama na maji anayo yule mzungu weeee!!
jamaa akaanza ''ZE.. ZEE..
CASAVA IZ STANDING AT
ZEKOLOMELO WATER PLZ!!!
mzungu akamuangalia kisha akamwambia ''UTAKUFA MDOGO WANGU WE SEMA TUU NINI SHIDA ??? naomba maji [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikwenda kutoa posa mambo yakawa hivi,
MZEE(baba wa binti):
Umekuja kutoa posa kwa binti yangu na unatafuna gum? huko ni kukosa heshima.
JAMAA: Mzee mimi hutafunagum wakati nimelewa ama nimevuta sigara.
MZEE: unamaanisha wewe hulewa na kuvuta sigara!! na umekuja kutoa posa kwa binti yangu?
JAMAA: Mzee mie hulewa na kuvuta sigara wakati nimeenda club pekee.
MZEE: Unaenda club pia?
JAMAA: Nilianza kwenda club nilipotoka jela.
MZEE: mpaka jela ulishafungwa?.
JAMAA: nilifungwa jela baada ya kuuwa mtu.
MZEE: Duh! Hivyo wewe
ushauwa?
JAMAA: Nilikuwa na hasira nyingi Mzee mmoja alikataa nimuowe binti yake.
MZEE: Aaah, karibu sana bwana mdogo, we ndio mwanaume unaefaa kumuowa binti yangu. [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlevi mmoja katangaza jukwaani kuwa ana wasiwasi kuwa yeye ni Mungu
WANANCHI:- haa?[emoji15][emoji15]
MLEVI:"Kwa sababu nikifika mtaani kwangu nasikia watu wakiniambia "Mungu wangu umelewa tena?"
Nikifika baa, nitaambiwa "Mungu wangu umekuja tena?"
Pale polisi post ya mtaani kwetu, mkuu wa kituo akiniona anasema "Mungu wangu umerudi tena!" Yaani watu wote hao wananiita mimi Mungu"
WANANCHI: shukaaa tokaa shukaa turudishie hela zetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa mmoja muongo alikuwa akiwahadithia washikaji zake maskani jinsi alivyokamata swala porini Akaanza "Nilimkimbiza sana mwishowe nikamkamata
na kumlaza chini.
Ghafla simu yake ikaita akaenda pembeni apokee, aliporudi akawauliza wenzake
JAMAA: hivi nilikuwa nimeishia wapi?
:- ulimlaza chini
Jamaa akaendelea
"basi nikamlaza chini, nikamshikashika nikamnyonya romansi mpaka akalegea, nikamvua nguo, halafu nikafanya nae mapenzi" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…