supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email: "Mama nina UKIMWI"
mama yake akajibu:
usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-
ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,
Mkeo atamuambukiza kaka yako, Kaka yako atamuambukiza hausigeli,
Hausigeli atamuambukiza baba yako, Baba yako atamuambukiza dada yangu, Dada yangu atamuambukiza mume wake, Mume wake ataniambukiza mimi,
Mimi nitamuambukiza dereva wetu, Dereva atamuambukiza dada yako,
Na dada yako kama unavyomjua atakiambukiza kijiji kizima. [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]