Whatsssssss!!!!!!!!!????

Majibu yanawafaa haya
1. Anaona umelala kabisa then anauliza "umelala saivi?"
JIBU: no, nafanya mazoezi ya kufa
2. Anapiga simu ya mezani home then anauliza "uko wapi?"
JIBU: nipo msikitini
3. Una mpelekea Galfriend zawadi ya maua then anauliza "hayo ni maua?"
JIBU: no, ni michicha
4. Upo kwenye jumba la sinema una nunua tiketi then anauliza "una nunua tiketi ya sinema?"
JIBU: no nalipa ada ya shule [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mhudumu analeta supu huku katia kidole ndani ya bakuli.
MTEJA: mbona unaweka dole lako ndani ya supu yangu?
MHUDUMU: daktari kaniambia kidonda kiwe na joto saa zote ndio kitapona.
MTEJA: (kwa hasira) si uwe unakichomeka kwenye makalio yako kwa muda wote.
MHUDUMU: ndio huwa
nafanya hivyo nikiwa jikoni.
MTEJA: rudisha supu yako sinywi tena
MHUDUMU: mbona supu ya jana umekunywa [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Supastar alipopata mkwanja akaamua kuhamia Masaki na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe wakaamua kumfuata mwenye nyumba wakamuombe msamaha. Walipogonga mlango akafunguua mbaba mmoja;
MBABA: karibuni
SUPASTA: Samahani sisi tumehamia karibuni nyumba ya jirani, mwanetu kavunja kioo chako kwa bahati mbaya, tumekuja kuomba msamaha na kuona kama tunaweza kutengeneza
MBABA: Karibuni kwenye kiti niwahadithie kitu. Kwanza mimi nawashukuru nyinyi. Mimi ni ZIMWI nilikuwa nimefungiwa kwa zaidi ya miaka 200 kwenye kichupa kilikuwa kwenye kile chumba ambacho dirisha limevunjwa, chupa nayo imevunjika nami nimekuwa huru, kwa hiyo kwa shukurani ombeni chochote mtakacho nitawapa
SUPASTAA:Mi naomba niwe bilionea mpaka nife
MBABA: Hilo jambo dogo sana kwangu, umepata na kesho utaamka tajiri
MKE WA SUPASTAR: Mi nataka niwe na nyumba kila nchi duniani na niwe na biashara Dubai na China na HongKong
MBABA:Umepata kuanzia kesho hayo ni yako. Mimi nawashukuru kwa uhuru wangu lakini nina ombi dogo.
SUPASTAR: Sema tu
MBABA: Mi naomba nilale na mkeo leo tu, unajua kifungo nilichofungwa kilinizuia kila kitu. Asubuhi ikifika hamtaniona tena, itakuwa siri yetu Supastar na mkewe wakajadili, wakaona utajiri waliopata ni mkubwa sana hilo jambo ni dogo wakakubali sharti. Mke akalala kwa Mbaba mpaka asubuhi.
Wakati mke akijitayarisha kurudi kwake Mbaba akakohoa kidogo;
MBABA: We una miaka mingapi na mumeo ana miaka mingapi??
MKE: Mume wangu 32 na mimi 30
MBABA: Sasa nyinyi wakubwa wazima mpaka leo mnaamini stori za MAZIMWI? [emoji12][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha
 
BINTI: Hello baba,
BABA: Sema binti yangu
BINTI: Nimempenda huyu mlinzi wa hapa nyumbani, nimeamua kutoroka nikaolewe nae.
BABA: Pumbafu kweli wewe
unadhani ntashtuka? Safari njema na nisikuone tena sura yako.
BINTI: Samahani baba, nilikuwa nakusomea barua aliyoacha mama,
Baba: Umesema??[emoji12][emoji12][emoji13][emoji13]
 
JAMAA: Dokta vipi mke wangu
DOKTA: kwa kweli hali yake
si nzuri, kavunjika uti wa
mgongo sehemu mbili, kwa hiyo hataweza tena kujitegemea.
JAMAA: Masikini mke
wangu, machozi yakaanza
kumtoka
DOKTA: Kwa hiyo atakuwa
mtu wa kulala tu, na
italazimu umgeuze kila baada ya masaa mawili ili asipate madhara ya vidonda. Na utalazimika kumlisha na kwa kuwa hawezi kuamka, atakuwa anajisaidia kitandani ni muhimu kuweka kitanda kiwe safi kila nusu saa, pengine italazimu awe na nepi uwe unambadili kila robo saa. Jamaa sasa alikuwa analia kwa nguvu waziwazi.
DOKTA : Hahahah nakudanganyaa, usilie hivyo KESHAKUFA[emoji12][emoji13][emoji13]
 
Jamaa kapita pembeni ya
nyumba ya ghorofa moja, si
akaangukiwa na condom
imetumika. Kwa hasira akaenda kupiga hodi kwenye nyumba ile, akatoka mtu mzima mmoja;
JAMAA: Nauliza nani anaishi hivyo vyumba vya juu?
MZEE: We chizi nini inakuhusu nini?
JAMAA: Nauliza tena nani
anaishi huko juu?
MZEE: Anaishi mwanangu na mkewe
JAMAA: Basi mjukuu wako
kanidondokea [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira na ana pisto, kusikia hivyo akachukua nguo zake bila kuzivaa akaruka dirishani na kukimbia. Kufika barabarani akakuta watu wengi wanakimbia wako kwenye mashindano ya mbio nae akajiunga. Mmoja akamuuliza, mbona unakimbia uchi? jamaa akajibu napenda sana hivi najisikia fresh. Mwingine akamwambia ndo ukimbie nguo umebana kwapani? Akajibu sasa niziweke wapi? Mwingine akamuuliza kwa hiyo kila ukiwa unakimbia unavaa kondom, jamaa akajibu hapana huwa navaa kama mvua inanyesha tu [emoji12][emoji13][emoji13]
 
Mfupi ndio aliegundua "ngazi"
mdhambi ndie aliegundua "kutubu"
mvivu ndie aligundua "kuiba"
mpweke ndie aliegundua "kupenda"
mjinga ndie aliegundua "kusoma"
maskini ndie aliegundua "kuomba"
domo zege ndie aliegundua "punyeto" CHAPUTA oyee[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wawili walikuwa kwenye ubishi mkali kila moja akitetea kuwa mwanae ndie mtoto mjinga kuliko wote duniani, ubishi ukawa mkali mwishowe wakaamua kuthibitisha,
MZEE 1: akamwita mwanae, 'We ngeli njoo',mwanae akaja mzee akamwambia,'Hebu nenda pale kazini kwangu kanicheki kama nipo, ikiwa utanikuta nambie nirudi nyumbani kuja kula sawa.? mtoto akajibu sawa akaondoka mbio.
MZEE 2: akamwita mwanae 'Jelo njoo' mwanae akaja, 'Mwanangu chukua hizi noti mbili za alfualfu, hii alfu moja kaninunulie gari, hii nyingine kaninunulie Blackberry sawa?' Sawa baba' Mtoto akatimka mbio. Njiani ile mitoto ikakutana MTOTO 1:baba mjinga kweli eti kanituma nikamuangalie kama yuko kazini, si angepiga simu tu wangemwambia kama yupo au hayupo,
MTOTO 2: ni heri ujinga wa babako, mimi babangu kanipa noti mbili nikamnunulie gari na simu, sasa eti wala hajanielekeza noti ipi ninunue gari na noti ipi ninunue simu kama si ujinga ni nini hicho! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mzee mmoja anapenda sana mabinti wadogo,siku moja akamuona binti anachati, basi mzee akazuga zuga, mpaka akamuomba yule binti email, binti akamwandikia kwenye kikaratasi email iliyosomeka UMECHOKAUTANIFIA@YAHOO.COM
Mzee naye akamwandikia yake iliyosomeka HAULIPIKIHIVYO@YAHOO.COM"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui atalia ama atanyamaza
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nishida
 
Kuna shida katika ndoa duh! Si kwa majibu haya!
 
Jamaa alikuwa anachat kwa text na mpenzi wake huku mtandao unasumbua,
BINTI: Hi Babes
JAMAA: Hi luv (msg sending failed)
BINTI: Vipi upo?
JAMAA: Ndio nipo sweety (msg sending failed)
BINTI: Mbona hunijibu? Uko na mtu?
JAMAA: Mbona nakujibu sweet (msg sending failed)
BINTI: Mi naona unadharau sana. Mi nimechoka staki tena
JAMAA: Malaya mkubwa kwenda zako (Msg sent) [emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Siku1 Papa Benedict XVI alitaka kufanya shopping, akamwambia dereva wake "niache niendeshe mimi,we kaa pembeni tu hapo". Kufika njiani Traffic akawasimamisha kuangalia vizuri ndani ya gari yule Traffic akakimbia kumwita mkuu wake. Mkuu nae aliangalia ndani ya gari akakimbia,yule traffic ikabidi amuulize mkuu wake mbona anakimbia?
Mkuu akajibu: kama Papa ndio dereva na anamuendesha yule mtu, basi yule mtu huenda ikawa ni Yesu [emoji12][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…