Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

binafsi hua namuogopa sana mwanamke ambae haombi ela hua simuelewi anataka nini kwasababu akisema anataka mapenzi tu najua uongo

ni sawa na shetani akwambie bwana yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie amen au ukemee[emoji125] [emoji125]

Ni kujukumu lako kumpatia na sio lazima akuombe
 
DADA alienda Salon wakati anasukwa akaingia MKAKA mtanashati, DADA akaamua kujaribu bahati yake.
DADA:Mambo?
KAKA😛oa.
DADA:Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?
KAKA:Kuhusu nini?
DADA:Nimekupenda nataka nikutoe out.
KAKA:Sawa ila nitamwambia nini MKE wangu?
DADA:Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
KAKA:Mwambie mwenyewe huyo hapo anayekusuka.Unajua nn kiliendelea?[emoji125]
 
Upo kwenye chumba cha mtihani,
maswalii yamekupiga kinyama
Unaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako,
Ghafla lecturer anaingia na wewe kwa woga wako unaficha calculator na kuweka simu mezani,
Hapo ndo utajua shetani naye alikua anasimamia paper.[emoji125] [emoji125]
 
UBAYA WA NYUMBA ZA KUPANGA!

Jana jirani yangu alikuja
akaniambia nipunguze sauti ya radio anataka kulala
Leo anapika chapat na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya

chapati nataka kula ugali[emoji13] [emoji13]
 
Kwenye zizi la Ng'ombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike.
Akamuuliza dk wa mifugo. "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "
Dk. " kwa wastani mara sita kwa siku "
Mke akamgeukia mumewe.- *" Unaona! ...."
Mume akajifanya hajasikia lolote.... kisha akamgeukia Dk. wa mifugo na kumuuliza, " Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo? "
Dk. "Hapana, huwa anapanda majike tofauti...!!"
Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu... "Unaona! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we mtundu sana, mkuu !!
 
TAARIFA KWA UMMA
moto mkubwa umezuka na kuunguza ekari 10 za mahindi Shamba lililopo kariakoo mjini Dar es Salaam. Mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana, tutawajulisha chanzo cha moto huo tukipata taarifa kamili[emoji13]
 
MTOTO: mama kwa nn unamuita mdogo angu malaika
MAMA: kwa sababu yeye ni mdogo sana na yupo kama malaika,
kwa nini umeuliza mwanangu?
MTOTO: nimemrusha dirishani nashangaa hajapaa

mama kazimia!!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Baba: mwanangu mbona siku hizi unanita Dad baada ya Baba
Binti: kuita Baba inamaliza lipstick Daddy[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Leo nikiwa kwenye daladala nikamgusa jamaa aliyekuwa amekaa siti ya mbele na dereva ili apunguze sauti ya redio .Amegeuka akanipa elfu kumi;
nilishuka hapo hapo alijua mimi konda![emoji125] [emoji125]
 
Nimekuta panya ana struggle kuingia chin ya mlango wa jiran yangu..nkagonga mlango.jiran kafungua panya akapenya mi nkaenda zangu

tenda wema ukwende zako[emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom