supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Jamani mpo? Kuna upelelezi unaendelea kwenye mitandao Kuweni makini, Nimeona defender mbili zimepita Instagram na Twitter[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
binafsi hua namuogopa sana mwanamke ambae haombi ela hua simuelewi anataka nini kwasababu akisema anataka mapenzi tu najua uongo
ni sawa na shetani akwambie bwana yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie amen au ukemee[emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Ni kujukumu lako kumpatia na sio lazima akuombe
Hasira hasara nimekusamehe bureasante kwa kufungua uzi huu umezawadiwa
HASIRA za ghafla!!!!!!!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kasema ananitumia Voice note"
Nimemwambia atume na ya kutolea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we mtundu sana, mkuu !!Kwenye zizi la Ng'ombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike.
Akamuuliza dk wa mifugo. "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "
Dk. " kwa wastani mara sita kwa siku "
Mke akamgeukia mumewe.- *" Unaona! ...."
Mume akajifanya hajasikia lolote.... kisha akamgeukia Dk. wa mifugo na kumuuliza, " Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo? "
Dk. "Hapana, huwa anapanda majike tofauti...!!"
Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu... "Unaona! [emoji23] [emoji23] [emoji23]