supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Ukitaka kujua kama MKEO/ MPENZI WAKO anakusachi MIFUKONI ukiwa umerudi Nyumbani, wewe weka CONDOM mifukoni utapata Jibu!!. Lazima Uamshwee[emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jinsi ilivyo..
"Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume, , , , hii ina maana kuwa IKIWA kila Mwanaume atakuwa mwaminifu kwa mwenzie tangu KUZALIWA mpaka KUFA... Tafsiri ya haraka ni kuwa kuna Wanawake watazaliwa mpaka kufa bila Kuonja raha ya tendo la umoja ni nguvu"
Sasa unakuta eti mwanaume ana kademu kamoja, roho mbaya tu! Hawa wengine mnatuachia sie peke yetu kwani hatuchoki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimejisikia furaha sana leo nimewasha Redio nkasikia Mtangazaji wa KIKE ananambia "MPENZI MSIKILIZAJI NAKUPENDA SANA ENDELEA KUWA NA MIMI KTK KIPINDI CHANGU"!!
Nimefurahi sana ila bado cjampa jibu kama na mimi nampenda au la!![emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Yesu alilisha wanawake 5000 wakashiba na kusaza, baada ya kugeuza samaki wawili na mikate mitano kuwa msosi wa nguvu, na alikufa akiwa bikra. Wewe kulisha mtu chips kuku tu unataka mzigo[emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa wenzake sasa"leo siku ya wali na shemeji jamani"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka akiba ya mbavu zako[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kuna watu wachoyo sijapata kuona...
_Nimepita kwa rafiki yangu nikakuta kabandika maji ya kusongea ugali yanachemka pembeni kuna unga na mwiko ila aliponiona uwezi amin ameyapoza kaenda kuoga dah[emoji1] [emoji1]