Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.
Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.
Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa break fast.
WANAUME KOKOTE MLIPO AGIZENI BIA NITALIPIA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa utambuzi... Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.[emoji124] [emoji124]
 
Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa wenzake sasa"leo siku ya wali na shemeji jamani"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umekaa na Demu mpya ghetto afu una hamu nae kinoma tangu alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni mkipiga stori za hapa na pale! Mara unaskia
Demu😀arling hivi kesho saa nne asubuhi ntapata bajaji from here? ���
HAPO NDIPO UNAONA KUMBE MUNGU YUPO?
 
*MIUJIZA*
Leo kwenye kipindi cha maombi jamaa m1 akanigusa bega na kuninong'oneza.....
"kwa uwezo wa Mungu leo utatembea kwa miguu Mh..mimi nikajiuliza kimoyo moyo uyu vipi? mbona...sina ulemavu wowote mwilini mwangu..nikasema isiwe tabu nikaitika AMEN...sasa wakat wa kwenda nyumbani nikaingiza mkono mfukon nakuta nimeibiwa nauli ya DALADALA.
duh, kilichofuata ni kutembea[emoji12]
 
Mvulana: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu.
Mama: Babaako mwenyewe hajafikia umri huo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Upendo wa kweli ni nini?
[emoji117] Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani*
Kifo ni nini?
[emoji117]*Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".
MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.
MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".
MKE: "Sidiria yetu!!"
MUME: (kimya)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jinsi ilivyo..
"Kiuhalisia wanawake ni wengi kuliko wanaume, , , , hii ina maana kuwa IKIWA kila Mwanaume atakuwa mwaminifu kwa mwenzie tangu KUZALIWA mpaka KUFA... Tafsiri ya haraka ni kuwa kuna Wanawake watazaliwa mpaka kufa bila Kuonja raha ya tendo la umoja ni nguvu"
Sasa unakuta eti mwanaume ana kademu kamoja, roho mbaya tu! Hawa wengine mnatuachia sie peke yetu kwani hatuchoki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimejisikia furaha sana leo nimewasha Redio nkasikia Mtangazaji wa KIKE ananambia "MPENZI MSIKILIZAJI NAKUPENDA SANA ENDELEA KUWA NA MIMI KTK KIPINDI CHANGU"!!
Nimefurahi sana ila bado cjampa jibu kama na mimi nampenda au la!![emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa wenzake sasa"leo siku ya wali na shemeji jamani"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu wachoyo sijapata kuona...

_Nimepita kwa rafiki yangu nikakuta kabandika maji ya kusongea ugali yanachemka pembeni kuna unga na mwiko ila aliponiona uwezi amin ameyapoza kaenda kuoga dah[emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Back
Top Bottom