Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AJIRA NGUMU!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kiukweli kabsaaa binafsi yangu kati ya Rose Muhando na Bahati Bukuku mi namkubali sana Boni Mwaitege, kwa sababu Christina Shusho ana sauti nzuri sana na ndiomaana hata Messi wakatiWatu wa fungu la kukosa.....
Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/= hakuna aliyeingia akashusha 5,000/= pia hakuna aliyeingia akashusha tena 2,000/= hakuna aliyeingia akashusha 1,000 pia hakuna aliyeingia akaamua kufanya bureeeee watu wakaingia na walikua wengi mno akafungulia Simba mmoja akafanya bei ya kutokea nje ni 20,000/=@ha hahaha
Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
UNG'ENG'E NI WITO JAMANI NYIEEE.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma! Imebidi nisubscribe kabisa huu Uzi.. Tuwekee vingine mkuu daaahh hahahahhah