Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

SCIENTIFICALLY mwanaume huwa anapenda ndani ya sekunde 8, na mwanamke huwa anakubali na anapenda ndani ya siku 15.
Inapotokea unafuatilia demu mwezi mmoja, miwili, mitatu, sita mpaka mwaka lakini bado haeleweki, ujue huyo siyo demu kabisa, Bali ni tamthiliya ya ISIDINGO ya kule ITV!!
We endelea kufuatilia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
AJIRA NGUMU!!
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, "hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa"
Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani ya Banda la Simba, akawa anapiga kelele "Mama nakufaaa!"
Mara yule Simba akamwambia "Acha Ufala ww kelele za nini sasa, mimi mwenyewe Binadamu! rudi kwenye Banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wa fungu la kukosa.....
Kiukweli kabsaaa binafsi yangu kati ya Rose Muhando na Bahati Bukuku mi namkubali sana Boni Mwaitege, kwa sababu Christina Shusho ana sauti nzuri sana na ndiomaana hata Messi wakati
anafunga lile goli, yule Daktari alisema kabisa kwamba kumtoa Mwenzio Macho ni Dhambi Kubwa sana kwakua yule mgombea urais wa Chama cha CUF alipiga chafya wakati wa Kampeni hadi watu wote pale Kanisani wakaanza kumpongeza Mchungaji kwa Huduma nzuri Kanisani, ndio maana kabichi ya betri ya nokia gari ya automatic ni kwenda kibaha.
-Hizo ndo strec za mapenzi zilivyo[emoji13][emoji13]
 
ha hahaha
Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/= hakuna aliyeingia akashusha 5,000/= pia hakuna aliyeingia akashusha tena 2,000/= hakuna aliyeingia akashusha 1,000 pia hakuna aliyeingia akaamua kufanya bureeeee watu wakaingia na walikua wengi mno akafungulia Simba mmoja akafanya bei ya kutokea nje ni 20,000/=@
ALIKUSANYA HELA KAMA MCHANGA!
*WACHAGA HATUPENDAGI UJINGA KABISA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alimpenda sana binti 1..karibu na mtaa wa kwao ila jama akawa mzito kumtamkia... siku 1 akajikakamua kumtumia sms, 'ILOVE U' GHAFLA kidogo sms ikaingia kwenye cm akiwa na shauku ya kutaka kujua bint kajibu nn.
Akamua kuhairisha kuisoma hadi kesho yake...
Alipoamka akafanya usafi wa nyumba nzima katandika kitanda... kanywa chai ya nguvu mpaka wakamshanga kua sikawaida yake yake.. alipomaliza akajitupa kitandan ili apate kusoma ile sms... alipoifungua tu akakuta ujumbe
'SAMAHANI SALIO LAKO HALITOSHI KUTUMA SMS HI PIGA *149 *49# UPATE MKOPO WA TIGO NIWEZESHE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali,
aliporudi nyumbani alimkuta paka amekwisharudi, jamaa alikasirika sana.
Siku ya 2 akamchukua na kwenda naye zaid ya kilometa 50 - akapiga vichochoro vya kutosha kisha akamtupa...
Akaanza safari ya kurudi nyumbani
baada ya muda akampigia simuu mkewe.
Vp mke wangu huyo paka yupo?
MKE: Ndio mume wangu tena ametulia hapa kwani imekuaje?
JAMAA: Hebu mpe sim anielekeze njia ya kurudi nyumbani nimepotea...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NAOMBA USHAURI
Kila ninapowaza kuacha kunywa Bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao.... pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na familia zao, wanaolipa ada za wanao na kodi za nyumba kutokana na kuendesha malori ya bia, pia nawafikiria ma Bar maids na familia zao na wamiliki wa bar ambao wametoa pesa zao kuwekeza ktk uuzaji wa bia....
Haya yote yananigusa sana moyoni nagundua kwamba mi kutokununua bia kunasababisha watu wengine wapate maisha magumu, kufa na njaa au kutotimiza ndoto zao.....
Baada ya hapo nanyanyua glass yangu ya Castle lager naendelea kunywa....
Sipendagi ukatili kwa binadamu wenzangu kabisa[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:
1. Mwenzako akinyolewa tia maji.
_Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.
2. Barua ni nusu ya kuonana.
_Siku hizi watu wanaonana kwa watzap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.
3. Akili ni nywele.
_Vipi kuhusu Mawigi?
4. Mchagua jembe si mkulima.
_siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.
5. Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe
_siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka husubiri kuamshwa na mtu.
6. Polepole ndio mwendo
_siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki.
Hatupendi mambo ya kizamani[emoji1][emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma! Imebidi nisubscribe kabisa huu Uzi.. Tuwekee vingine mkuu daaahh hahahahhah
UNG'ENG'E NI WITO JAMANI NYIEEE.....
Kuna jamaa flani alikua anauza mbuzi za kukunia nazi Yaani kibao cha mbuzi, mara ghafla mzungu akatokezea.
MZUNGU: Jamboo .......?
JAMAA: Jambo.......
MZUNGU: What is this my friend......?
JAMAA: This is goat for kwaru kwaru coconut,,, not goat meeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani.
Husband: Takamushi jiku.
Wife :hashi jiku mishihe.
Husband: inamoto kushini hatapi.
Wife: jejeta takuna mota shinita.
Husband: kituya sitina kutara.
Wife: totori yatika miniya
Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapani, kuwaga serious saa zingine.[emoji23][emoji23]
 
Zawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE:
1. Nyumba
2. Gari
3. Duka/biashara
Zawadi ambayo MWANAMKE humzawadia MWANAUME:
1. Vest
2. Boksa
3. Saa
Wanaume Tupimwe akili...
Ujinga_huu ...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeagizwa nikampokee mgeni stendi,nimempokea nashangaa yeye ndo anakaza mwendo njiani!
Nimemuacha katangulia kama hatua tano nimekata kona kichochoro kingine!.[emoji125][emoji125]

Sasa hivi nipo kwa rafiki yangu nasikia anatangazwa msikitini Amepotea.
Sipendagi ujinga mimi!
 
Jamani wako wapi wale Wadada waliokua wakimwambia Mama na kunisifia kipindi nikiwa mdogo.
"waaaooh Cute bby boy"
Wapeni namba zangu popote walipo.
WASIFIKIRI NIMESAHAU... NA NAMUULIZA MAMA SASA HIVI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sitaki_Ujinga_Mimi
 
MAISHA ya DADA zetu INSTAGRAM:-
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu.
 
LEO NIMEPTA ZANGU KWENYE KIBANDA CHA MAGAZETI NIKAONA KUNA GAZETI KICHWA CHA HABARI KINASEMA:-
"POLISI WAWACHAPA WABUNGE" NIKASHAWISHIKA KUTOA JERO YANGU NINUNUE LILE GAZETI ILI NIJUE WABUNGE WALIFANYA NN MPKA WAKACHEZEA KICHAPO...
KUFUNGUA NDANI "TIMU YA SOKA YA POLISI DODOMA IMEICHAPA TIMU YA WABUNGE BAO 2 "
NILIRUDI NKAMWAMBIA MUUZA MAGAZETI ACHUKUE GAZETI LAKE ANIRUDISHIE JERO LANGU[emoji13][emoji13]
 
Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake....
Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake.
Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisachumbani kwake....
Akanyata taratibua akafungua mlango akazama chumbani kwa mjomba ake bila kujua, ghafla umeme ukarudi...
MJOMBA; we mshenzi umefata nini chumbani kwangu tena uko uchi
JAMAA; nimekuja kukuaga kesho naondoka
MJOMBA; ndo uje uchi?
JAMAA; ndio kwasababu nimeshapaki kila kitu kwenye begi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!
Hatupendagi ujinga sisi
Akili zetu tunazijua wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
nazima ujue nakuita njoo kwangu..
Mke Akakubali sawa mume wangu, mke ukamchukua usingizi akalala.
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
bado mke kalala..
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake..
"Dogo mwamshe mama yako asije akaunguza taa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
1479208853256.jpg
 
Back
Top Bottom