Whatsssssss!!!!!!!!!????

Whatsssssss!!!!!!!!!????

Wachungaji wa3 walikuwa wakielezeana matatizo yao ili waombeane,
[emoji117]Wa 1: Tatizo langu kila nikitoka kwenye ibada lazima niibe sadaka, naomba mniombee niache tabia hii.
[emoji117]Wa 2: Napenda sana wanawake kila mtu
napenda nilale nae, nishalala na waimba kwaya karibu wote, niombeeni niache tabia hii
[emoji117]Wa 3; akaanza kulia, wenzake wakamuuliza
we vipi mbona unalia, yeye akawaambia mimi tatizo langu ni umbea yaani mliyosema hapa yote lazima nikasimulie kanisani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulikuwa wakati wa mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza.Usajili ulikuwa unaendelea. Mmojammoja alisogea kwa Mwalimu mwandikishaji. Kwa huyu ilikuwa hivi:
Mwalimu:Jina lako nani wewe?
Mwanafunzi:Jina langu gumu Mwalimu
Mwalimu🙁kwa ukali sana) Acha ujinga wako,taja jina lako upesi.
Mwanafunzi🙁kwa woga na
upole)Naitwa Gumu Richard [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna bwana mmoja alikutana na mtoto
anatembea na mbwa
BWANA: dogo mbwa wako
anang'ata ?
DOGO: hang'ati
Yule bwana kwa sababu anapenda sana mbwa
akamshika mbwa kichwani mbwa fasta akamng'ata vidole na kutoka na viwili
yule bwana akalia huku hakimulaumu mtoto
umesema mbwa wako
ang'ati mbona kanitoa vidole
DOGO: akajibu huyu sio mbwa wangu mbwa
wangu yuko nyumbani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MLEVI mmoja aliingia baa akavuta kiti na kukaa mhudumu akatokea kumsikiliza.
MHUDUMU: Nikusaidie nini?
MLEVI: Eeh! nipe bia ya baridi kisha wasikilize wote waliokaa hapa, wape bia na wao maana sipendi kunywa pombe wengine wananiangalia
Akaja mhudumu wa jikoni "nikusaidie nini?"
MLEVI: Niletee supu kisha wasikilize wote waliokaa hapa na wao wape supu sipendi kunywa supu watu wananiangalia
Safari hii watu wakapiga makofi
Baadae akamuita mhudumu
MLEVI: Niandikie bili zangu kisha waandikie wote bili zao sipendi kulipa huku watu wananiangalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MWANAHABARI:"Mama mi ni mwanahabari
na nimekuja kuongea na wewe kuhusu
mwanao."
MAMA:"Kwani kuna nini tena baba."
MWANAHABARI:"Si unajua mwanao alienda
na wenziwe uingereza?"
MAMA:"Hapana nilikuwa sijui."
MAMA:"Basi mwanao ameenda huko na
amevunja rekodi ya Olimpiki."
MAMA:"Tobaaa! Mungu wangu huyo mtoto
toka mdogo kazi yake ni kuvunja vitu tu, kavunja vyungu vyangu vyote,hata kwa majirani nako kavunja.. Naomba serikali inisaidie kulipa mimi sina uwezo wakumlipa
Olimpiki..kama uonavyo mi ni mjane jamani!"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Underground mmoja wa bongo fleva ajulikanae kama ''KINYA'' alikwenda kutumbuiza katika
ukumbi mmoja hivi, sasa si unajua kabla ya kuimba
ni lazima msanii yeyote atietie manjonjo na
kujitambulisha jina lake, basi msela ''KINYA'' si ndo akapanda kwenye stage, akajitambulisha kwa sauti, ila mashabiki hawakuelewa km msanii yule ndo jina lake wakahisi anafanya kusudi mbele yao si unajua
washabiki wengine hawapendi dharau,
ebwanaee si wakambadilikia baada ya kujitambulisha, cheki sasa.
MSANII...(Akijitambulisha) eyooo ni KINYA apa.
WASHABIKI...(Kwa kelele na hasira) Weee utazoa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalimu ;" wewe john
unacheka nini?"
John ; "mwalimu Umekaa
vibaya nimeona mapaja yako "
Mwalimu ; "huna adabu wewe toka nje nisikuone mpaka kesho"
Mwalimu ; "na wewe Michael unacheka nini??"
Michael; "mwalimu nimeona kamba ya bikini yako"
Mwalimu ;" shenzi wewe toka nisikuone mpaka next week"
Mwalimu ; "na wewe Jose
vipi??"
Jose ; " "mwalimu nimeona
tattoo yako"
Mwalimu ;"hii mitoto,toka
nisikuone mpaka mwezi ujao"
Mwalimu ; "na wewe abu
unaenda wapi
sasa???"
abu; "nilichokiona mwalimu
nadhani nimefukuzwa shule
kabisa."[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vituko majumbani.
Mume: mbona makelele jirani?..
Mke: kuna birthday..
Mume: birthday ya nani?
Mke: itakua birthday ya TUYU
Mume: umejuaje mke wangu
Mke: aah mie nimeskia happy birthday TUYU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MGONJWA: doctor!uume wangu hausimami
DOCTOR:una mke?
MGONJWA:hapana
DOCTOR:una mpenzi?
MGONJWA:hapana
DOCTOR:je unafanya starehe yoyote?
MGONJWA: hapana
DOCTOR😛UMBAVUU SASA UNATAKA USIMAME
ILI UTUNDIKE KOTI?[emoji23][emoji23]
 
Jamaa alimuibia mzee nauli ktk daladala
Mzee: Jamani aloniokotea nauli yangu anirudishie, nisije nikafanya nilichofanya mwaka 1977.
Jamaa huku akitetemeka
akarudisha halafu akauliza,
"kwani mzee 1977 ulifanya
nini?
Mzee: nilitembea kwa miguu kutoka mbagala mpka mwenge baada ya kupoteza nauli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa: "Penzi langu lina GB kubwa sana kwako mpenzi. Nataka ni INSTALL moyo wangu kwenye CPU ya nafsi yako. Naomba uni-double click kwenye maisha yako ili niwe SOFTWARE moyoni mwako. Your life will not be at risk coz tutatumia Condom ambayo itakuwa ni anti- virus tosha..
Demu: Twende angaza tukaji-SCAN laziz[emoji12][emoji13]
 
Baada ya ndoa.. wiki kama 2 za maharusi:
Mama 1 alimuona mwanae wa kike anakonda tu,ikabidi amuulize "vipi maisha ya ndoa?" Bintie akajibu "mama.. yaani kama British Air Ways!!" Mama akajaribu kutazama ratiba ya hiyo ndege.. Akakuta kwa wiki.. inasafiri mara 7, na ktk kila siku 1 inaenda trip 3, na ktk kila trip 1 inasimama vituo 7, mama pale pale akazimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KWA MFANO UMEKWENDA UKWENI, WAKATI
WA KULALA UKAAMBIWA USITOKE NJE USIKU
KUNA SIMBA, UKAWA UMELALA NA MTOTO
WA MIAKA MINNE KILA MTU NA KITANDA
CHAKE USIKU UKAWA UMEBANWA NA MKOJO
NJE SIMBA WANANGURUMA IKABIDI
UMCHUKUE MTOTO UMLETE KITANDANI
KWAKO ILI UKOJOE KITANDANI KWAKE
ULIPOMRUDISHA UKAKUTA KANYA KITANDANI KWAKO JE KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?[emoji12][emoji13][emoji13]
 
WALEVI waliokota KIOO! MLEVI wa kwanza baada ya kukitazama KIOO akasema "hii sura si ngeni ila jina sikumbuki" mwenzie akakichukua kile KIOO na kukiangalia kisha akamwambia mwenzie "we chizi kweli si mimi huyu unajidai hunijui"?..je hapo nani mlevi zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2017 TUNAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFUATAYO:
1.mapenzi ya dhati yauzwe elfu 20.
2.Nauli ya ndege kwenda South Afrika iwe bure coz ni mteremko.
3.Sukuma wiki ichunguzwe kwanini haiwezi sukuma mwezi au mwaka.
4.Siku za mwizi zifike walau 70, sababu uchumi umekuwa mgumu.
5.Njiti za kiberiti ziwekwe pande zote la sivyo wachonge upande mmoja tutumie kama toothpicks.
6.Chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari bei ya chumvi.
7.Pombe ijazwe chupa...hii tabia ya kuacha nafasi kidogo ni kutuibia.
8.Donati zisiwe na shimo katikati...la kazi gani?
9.Vocha za buku ziuzwe mia tisa tupate mia za kukwangulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nani mburula kati ya hawa?
Tcha; ni nani aliemuua mkwawa?
denti 1:sio mimi
denti 2:wala sihusiki
denti 3:kwanza mi jana sikuja shule ticha alivyoona wanafunzi wote majuha akaamua kumwita mkuu wa shule aje awaulize tena
mwlm mkuu: nyie watoto semeni nani kamuua mkwawa?
wanafunzi wote: hatujui na wala
hatuhusiki..
Mwalimu mkuu akamuita mwalimu wa somo pembeni na kumuuliza..
Mwl mkuu:UNAUHAKIKA MUUAJI YUPO DARASA HILI KWELI?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/= hakuna aliyeingia akashusha 5,000/= pia hakuna aliyeingia akashusha tena 2,000/= hakuna aliyeingia akashusha 1,000 pia hakuna aliyeingia akaamua kufanya bureeeee watu wakaingia na walikua wengi mno akafungulia Simba mmoja akafanya bei ya kutokea nje ni 20,000/=@
ALIKUSANYA HELA KAMA MCHANGA!
*WACHAGA HATUPENDAGI UJINGA KABISA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna Methali zimekwisha muda wake wa matumizi.
Mfano:
1. Mwenzako akinyolewa tia maji.
_Siku hizi tunanyoa kwa mashine. Ukitia maji zinateleza hazinyoleki.
2. Barua ni nusu ya kuonana.
_Siku hizi watu wanaonana kwa watzap. Mkingojea barua mtakufa bila kuonana.
3. Akili ni nywele.
_Vipi kuhusu Mawigi?
4. Mchagua jembe si mkulima.
_siku hizi tunatumia zaidi matrekta ya kukodi.
5. Alalae usimuamshe akiamka utalala wewe
_siku hizi unaweka alam mwenyewe unaamka husubiri kuamshwa na mtu.
6. Polepole ndio mwendo
_siku hizi kuna mwendo kasi ukienda polepole utabaki.
Hatupendi mambo ya kizamani[emoji1][emoji1]
 
Nimemtembelea rafiki yangu nyumbani kwake mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa karibu kusonga ugali.
Nikamuwahi wakati alitoka nje, nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujua alipima maji kulingana na unga uliobaki.
Sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani.
Kumbe wote hatupendi ujinga...!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
ahahah nimerudi tena kwa uzi juu nivunje mbavu mie.
 
Back
Top Bottom