When Kasie is Deeply and Madly in Love πŸ₯°

Hahaha wabich wa sasaiv wasumbuf kwel bora wazee

Acha uvivu, sasa hawa waschana vijana nani atawakaza hadi watulie.

Wazee shurti wakaze wazee wenzao.....
Mambo ya bakulutu, taratibuu bila jasho wala kuumizana na utamu palepale πŸ˜…
 
I love you
 
Anahitaji maombi na upako huyu Kasie ni shiida πŸ™‚

Tuombe koona ikimbie TZ upako wa afya tele na furaha kwa wananchi uwe pomoni na wote tuishi kama peponi aka tuwe matajiri.

Maombi yako mengi sana, why kuombea Mahaba jamani wakati ndo burudiko la wanaume....!

Au mmesahau kuwa maua ndo asili ya asali...???!
Ona sasa nyuki wanavohaha kila ua wanataka kulichavuga....🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Maua mengine yanathumu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Bibi kipendhii ulipotelea wapi? [emoji7][emoji7][emoji7]
Mahaba ktk ubora wake.

Mie tenaaa....

Kila leo nna pishi jipya la mchele....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Michele yote inapepetwa kuanzia mdundiko, kitumbo, wa Mbeya, basmati hadi VIP.....

Zege halilali....😜
 
Baby wako wa leo kwa pishi ilo ni mhogo au bamiaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Aaahahhahahahaaaa

Mahabuba wangu keshacheua saa hizi anachokoa vinasa meno kisha asukutue tukalale.....

Siri ya kata aijuaye mtungi...

Ukitaka uhondo wa ngoma...... uingie ucheze.
 

Right back at you....!!

A million times American budget...

Fcuk you....

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Nyakoonyakoonyakooooo

Nyakoonyakooo konyaaaaaaaa....🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ–•πŸ–•πŸ–•

Three little hands (hands job) with humping finger up up up πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Manangumene nkunyoleeeee...!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…