sweetdada
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 517
- 169
Je umewahi kuambiwa hukupendwa wewe?na ulijisikiaje?na ukafanyaje kuzoea hiyo hali?
Nina sababu ya kuuliza hivi..kuna thread 'nilianzisha ya anajifanya bab kubwa'.
kama umesoma vizuri yule jamaa kumbe visa vyoote ni kwamba ndo kapata kunambia baada ya kumkalisha chini na kuongea nae..he had to spill it out.he said he could have told me 3 yrs ago but he did not know how to, as he didn't want to disappoint me.
however, he felt like he couldn't hold it any longer mana hawezi kukeep on prtending ndo mana inabidi anambie kuwa,hakunipendaa...sasa mimi swali langu lilikuwa ina mana tangu year one ulikuwa hunipendi why not telling me?jibu:alikuwa akinitamani tuu. Jamani inauma kuambiwa ulikuwa hupendwi..tena after a long period of time..tena kabisa SIKUKUPENDA..
hebu niambieni how do i dela with this mana ni ngumu,natamani kufa uwiiii.:crying: