When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
517
Reaction score
169
Je umewahi kuambiwa hukupendwa wewe?na ulijisikiaje?na ukafanyaje kuzoea hiyo hali?

Nina sababu ya kuuliza hivi..kuna thread 'nilianzisha ya anajifanya bab kubwa'.
kama umesoma vizuri yule jamaa kumbe visa vyoote ni kwamba ndo kapata kunambia baada ya kumkalisha chini na kuongea nae..he had to spill it out.he said he could have told me 3 yrs ago but he did not know how to, as he didn't want to disappoint me.

however, he felt like he couldn't hold it any longer mana hawezi kukeep on prtending ndo mana inabidi anambie kuwa,hakunipendaa...sasa mimi swali langu lilikuwa ina mana tangu year one ulikuwa hunipendi why not telling me?jibu:alikuwa akinitamani tuu. Jamani inauma kuambiwa ulikuwa hupendwi..tena after a long period of time..tena kabisa SIKUKUPENDA..

hebu niambieni how do i dela with this mana ni ngumu,natamani kufa uwiiii.:crying:
 
i dont love you anymore.......!!!! neno baya sana katika maneno yoote duniani ni hili...jitahidi usimwambie mwenzako na uliepuke kabla halijakukuta,,,maana heehhehehh:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:.
 
not even i don't love you anymore.hiyo ingekuwa afadhali my dear...he said i did not love you.Nilikutamani
 
I dont love you anymore maana yake alikupend hapo mwanzo. Hiyo ruksa kumwambia mtu.
Sijawahi kukupenda ndo mbaya.
 
ehhehehh hata kuwahi hajawahi kukupenda......si kazi hiyo????,,, haya inshallah kheri.....sijui watokea na mlango gani ukishaambiwa !maneno hayo!!!
not even i don't love you anymore.hiyo ingekuwa afadhali my dear...he said i did not love you.Nilikutamani
 
not even i don't love you anymore.hiyo ingekuwa afadhali my dear...he said i did not love you.Nilikutamani
Mmmh! Baaaaad,
Pole sana. Njoo huku upendwe mama.
On the second thought, alitaka kutolea pressure zake za sex kwako, wanawake mnatakiwa kufahamu haya mambo.
 
lakini bigirita hata hiyo anymore lakini pia yauma,,na si rukhsa kwanini umeipa rukhsa wataka tutimuliwe sa hizi humu watu wenyewe tushachokana twalea watoto tuu...,
I dont love you anymore maana yake alikupend hapo mwanzo. Hiyo ruksa kumwambia mtu.
Sijawahi kukupenda ndo mbaya.
 
Mmmh! Baaaaad,
Pole sana. Njoo huku upendwe mama.
On the second thought, alitaka kutolea pressure zake za sex kwako, wanawake mnatakiwa kufahamu haya mambo.
pressure za sex for 6 years..thats crazy
 
Ukweli unauma lakini unabaki kuwa ukweli. Lazima uzoee kuambiwa ukweli na ushukuru kuambiwa hivyo.
 
lakini bigirita hata hiyo anymore lakini pia yauma,,na si rukhsa kwanini umeipa rukhsa wataka tutimuliwe sa hizi humu watu wenyewe tushachokana twalea watoto tuu...,

Ruksa kwa maana kwamba ni ukweli kwamba mliweza kuwa mmependana kwa all wrong reasons, kuambiana ukweli ni jambo la kiungwana.
Japo kuna degree ya busara kwenye haya mambo, kama ndo tayari tena mnalea, ni lazima kutambua how far you have gone na kuheshimu hilo kwa kutumia kichwa badala ya moyo
 
Sweetdada eti unatamani kufa?? Baba yako Mzazi huyo?? Kwamba ukimkosa huna tena wa kumuita Baba??

Asikubabishe kabisa kuachwa kitu gani??? Watu wanaachwa kwa ndoa na maisha yanakwenda.

Nikwambie kuwa ngangari usijionyeshe kuwa umeumia hata kidogo atapata sifa nakujiona yeyey ndo kila kitu. Mwanaume unamwacha na unapata mwingine sawa Bidada?? Onyesha kuwa wewe unaweza kuishi bila yeye OK???

Kwa sasa unastress sana tuliza kichwa fikiri mambo ya kufanya usiwe na yoyote kwa sasa maana uamuzi wa sasa utakuwa si wa busara ni wa hasira so utakuwa si uamuzi mzuri.

Tuliza kwanza utampata wanaume wapo wengi tena wanakutamani kila kukicha taabu ya nini bana??

Ni hayo tu kwasasa najiandaa kwenda ofisini nitarudi baadae
 
DA, haya bana.
Kweli tupo wengi

Big mie kiukweli siogopi mwanaume kuniambia hanipendi (Bahati nzuri nimepita hicho kipindi) yeye nani bana mpaka aninyanyase kiasi hicho??

Kwanini kama hunipendi mie nilikulazimisha kunifuata aahhhh inaudhi
 
Sweetdada eti unatamani kufa?? Baba yako Mzazi huyo?? Kwamba ukimkosa huna tena wa kumuita Baba??

Asikubabishe kabisa kuachwa kitu gani??? Watu wanaachwa kwa ndoa na maisha yanakwenda.

Nikwambie kuwa ngangari usijionyeshe kuwa umeumia hata kidogo atapata sifa nakujiona yeyey ndo kila kitu. Mwanaume unamwacha na unapata mwingine sawa Bidada?? Onyesha kuwa wewe unaweza kuishi bila yeye OK???

Kwa sasa unastress sana tuliza kichwa fikiri mambo ya kufanya usiwe na yoyote kwa sasa maana uamuzi wa sasa utakuwa si wa busara ni wa hasira so utakuwa si uamuzi mzuri.

Tuliza kwanza utampata wanaume wapo wengi tena wanakutamani kila kukicha taabu ya nini bana??

Ni hayo tu kwasasa najiandaa kwenda ofisini nitarudi baadae

hapa kinachouma Dena ni kwamba he said alikuwa na mimi sababu ya competition,alibet na wenzake kuwa anaweza kunipata na akadhihirisha anaweza kunipata,hakutegemea kukaa na mimi kwa muda mrefu anajishangaa kwanini amekaa muda huo wote na mimi coz he did not love me in the first place...

sasa kama ni hivyo mi naona afadhali angehit and run isingeniuma..we unakaa na mie miaka yote hiyo ndo unakuja sema sasa hivi hayo maneno..i dont care kuhusu mtoto coz i wanted one, to me its a blessing and it wasnt a mistake...

i need a glass of cols water please wheeew!!al be back
 
Pole sn. Dunia ina mambo na usipokuwa ngangari unaweza ukadata. Be strong songa mbele achana na kumfikiria hyo jamaa hana maana.
 
Inauma sana aisee, hata kama hajawahi kukupenda angetafuta njia bora za kukuacha kuliko kukupa za uso tena kavu kavu.
 
hapa kinachouma Dena ni kwamba he said alikuwa na mimi sababu ya competition,alibet na wenzake kuwa anaweza kunipata na akadhihirisha anaweza kunipata,hakutegemea kukaa na mimi kwa muda mrefu anajishangaa kwanini amekaa muda huo wote na mimi coz he did not love me in the first place...

sasa kama ni hivyo mi naona afadhali angehit and run isingeniuma..we unakaa na mie miaka yote hiyo ndo unakuja sema sasa hivi hayo maneno..i dont care kuhusu mtoto coz i wanted one, to me its a blessing and it wasnt a mistake...

i need a glass of cols water please wheeew!!al be back

Aya ya ya ya yaya ya aisee nasikia ku....roho ya mtu eti anasemaje???? Wewe ni mvumilivu aise aaahhh anakwambia maneno hayo uwwiiiiii Mungu nisamehe niishie hapa aaiiiiii naweza aaaaa leo ni siku ya wanawake ngoja niache duuhhhh
 
pole sana sweetdada kwenye sred ya anajifanya mjanja nilikupa ushauri mkavu ya namna ya kumtoka kabisaaa wakaniponda.
Nikisoma ile na hii sred naona wewe mwenyewe ulizembea kuanalyse situation mapema sasa inabidi ulivae tanuru pls refer kile nlichokwambia you will get him out of your head soon.

Ni kweli kuna watu wapo kwenye mahusiano bila kupendana hata siku mmoja hasa wakaka maoppurtunists wakisubiri upepo ulete marashi wayatakayo wasepe.Hili nimeshaambiwa na wengi sana.
 
Je umewahi kuambiwa hukupendwa wewe?na ulijisikiaje?na ukafanyaje kuzoea hiyo hali?

Nina sababu ya kuuliza hivi..kuna thread 'nilianzisha ya anajifanya bab kubwa'.
kama umesoma vizuri yule jamaa kumbe visa vyoote ni kwamba ndo kapata kunambia baada ya kumkalisha chini na kuongea nae..he had to spill it out.he said he could have told me 3 yrs ago but he did not know how to, as he didn't want to disappoint me.

however, he felt like he couldn't hold it any longer mana hawezi kukeep on prtending ndo mana inabidi anambie kuwa,hakunipendaa...sasa mimi swali langu lilikuwa ina mana tangu year one ulikuwa hunipendi why not telling me?jibu:alikuwa akinitamani tuu. Jamani inauma kuambiwa ulikuwa hupendwi..tena after a long period of time..tena kabisa SIKUKUPENDA..

hebu niambieni how do i dela with this mana ni ngumu,natamani kufa uwiiii.:crying:

Ahaaa...! Pole sana Dada mutamu, dunia sio mviringo tena ni pembe tatu,
kuwa jasiri. "Mambo yakienda kombo yaache usiende nayo,maana utakua tatizo mwisho utatatuka"
SWEET DADA!, you know what? I...I LUV U....! Mwah! Mwah! Mwah!. Feelin comfortable now with my kiss?
 
Back
Top Bottom