Where did you met your husband/wife and how did you know he/she is the one?

Where did you met your husband/wife and how did you know he/she is the one?

Kuna dada ilikuwa inatokea automatic kila nikienda kanisan nakaa naye kwa wik 4 mfululizo!!kabla ya mahubili mchungaj alikuwa anasema mshike mkono jiran yako mwambie Nakupenda sana,ikawa inatokea namshika yeye kwa jumapil 4 mfululizo,Nikaanza kumpenda mwisho wa siku tukapendana.So nilikutana naye Kanisani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
... napita... I will be back...
 
Kazini, yeye alikuwa HR na ndiye alinifanyia interview. nilivyofanikiwa tu kupata kazi akajitolea kuwa mwenyeji wangu hata lunch tukawa tunaenda wote, nilipojaribu kurusha kete akakubali bila kusita kwa madai kuwa alinipenda tangu kwenye interview.
 
Mimi wakwangu tulikutana Bar, kesho yake tulipoamka guest house nikajua huyu ndiye mwenza wangu wa maisha, and that was it! Pamoja tunahesabu miaka 25 sasa, katika ugonjwa na uzima, katika uchwara na mapesa🙂
 
Kazini, yeye alikuwa HR na ndiye alinifanyia interview. nilivyofanikiwa tu kupata kazi akajitolea kuwa mwenyeji wangu hata lunch tukawa tunaenda wote, nilipojaribu kurusha kete akakubali bila kusita kwa madai kuwa alinipenda tangu kwenye interview.

kwa hiyo ulikuwa unatafuta wa kuzaa nae wakati pembeni ulikuwa na HR.......
si ungemuomba akuzalie basi
 
Back
Top Bottom