Paperchaser
Member
- May 4, 2013
- 52
- 5
wangu tulikutana tukiwa formsix
Mmhh...mmhhh mtakufa jamani haya wee!
aiseee sikumbuku my akanana Passion Lady tulikutana wapi hila ninacho kumbuka Madame B na kaka kala peni walikutana dar live
honey c ulinikuta oficn kwangu
bank flani ulikuja kupata huduma?
unasahau haraka sana bana,halafu unamtaka
Madame B maneno mi siingilii mtu na mtalaka wake!!
Humu ndani kuna watu wana mikakati ya kuangamiza jinsia ya kike Liyumba cha mtoto! Kutwa wako JF kwa ajili ya kutongoza na kumega watoto wa watu huku wakijijua kabisa ni ++hee kwanini tufage sie na wewe je?
Humu ndani kuna watu wana mikakati ya kuangamiza jinsia ya kike Liyumba cha mtoto! Kutwa wako JF kwa ajili ya kutongoza na kumega watoto wa watu huku wakijijua kabisa ni ++
Acha wivu wewe Passion Lady,
hujui kuwa Awali ni Awali tu na pia Mavi ya kale hayanuki?.
Huyo akijisikia atarudi tu kwangu.
Mie nilikutana na wewe ulipokuja kutaka huduma yangu pale Kimboka By Night.
Sema unamuonea aibu Passion Lady.
wacha weeee!!
my hausbnd kumbe
ulikua mteja kule eeeh?
nafwaaa mie, Ruttashobolwa
njoo uthibitishe kauli hii kama kuna siku
itatokea ili na mm nitafute spea tairi kabisaaa!!
Siku atakayorudi ndo utashangaa.
te amo demasiado.
mzima shosti?
Niko pouwaa mumy.
Habari yako?