Where did you met your husband/wife and how did you know he/she is the one?


honey c ulinikuta oficn kwangu
bank flani ulikuja kupata huduma?
unasahau haraka sana bana,halafu unamtaka
Madame B maneno mi siingilii mtu na mtalaka wake!!

Acha wivu wewe Passion Lady,
hujui kuwa Awali ni Awali tu na pia Mavi ya kale hayanuki?.
Huyo akijisikia atarudi tu kwangu.
 
Last edited by a moderator:
hee kwanini tufage sie na wewe je?
Humu ndani kuna watu wana mikakati ya kuangamiza jinsia ya kike Liyumba cha mtoto! Kutwa wako JF kwa ajili ya kutongoza na kumega watoto wa watu huku wakijijua kabisa ni ++
 
ok naanza kukuelewa kidogo
ila sina mchango wowote hapa.

Humu ndani kuna watu wana mikakati ya kuangamiza jinsia ya kike Liyumba cha mtoto! Kutwa wako JF kwa ajili ya kutongoza na kumega watoto wa watu huku wakijijua kabisa ni ++
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…