Where is Azory Gwanda?

Kenya inaongoza Africa "in police killings", hiyo ndio sifa yenu, ona sasa mnajisifia kwa kuuwa watu eti bora miili yao imepatikana lakini hakuna hatua zozote za uchunguzi.

Which country in Africa is a police state? ?? Tanzania definitely.
 
You are entitled to your own opinion which would have made a lot of sense if yo kept quiet
 
Chris Msando alipatikana?, wewe kweli ni a person made in failed state.

Hamna tofauti saa hii ya Danganyika na Yugoslavia kijana. Yu are only bootlicking yet in reality things are really bad in that darkness called Danganyika
 
Hamna tofauti saa hii ya Danganyika na Yugoslavia kijana. Yu are only bootlicking yet in reality things are really bad in that darkness called Danganyika
Dunia nzima inathibitisha ukweli huu, wewe thibitisha unalosema. Hahahahaha.
 
Hamna tofauti saa hii ya Danganyika na Yugoslavia kijana. Yu are only bootlicking yet in reality things are really bad in that darkness called Danganyika

Who were convicted regarding the Musando death?
 
wwsingelichunguza mwili wake ungelipatikana kweli kule mwituni...gwanda mpka leo hajulikaniwi alipo..hta polisi bado hawajaweka juhudi za kumtafuta...

lissu tu kapigwa risasi katika maeneo ya serikali..lkn mpka sasa hamna lolote
 
Ahaaa haaa haaa
Wamebakiwa tu na AKILI ya KUVUKA BARABARA.

Hehehe. Is there anything out of the ordinary there?Aliyewaroga lazima ni mwarabu na alitupa ufungu indian ocean. Nowonder you are headless kabisa. So where is Azory Gwanda? Now that umetoa suruali ukafinikia kichwa ukaruka juu chini, the point was produce AZORY GWANDA
 
Ahaaa haaa haaa
If you show me just a single person who was convicted regarding the Musando death. Le me tell you, I'll never yap in here on issues of human rights.
 
Ahaaa haaa haaa
If you show me just a single person who was convicted regarding the Musando death. Le me tell you, I'll never yap in here on issues of human rights.
Ongezea na Aboud Rogo, Makaburi, Jacob JUMA, Mwenye magari ya "Coast Modern", viongozi na wanachama zaidi ya 300 wa MRC kule Mombasa. Tujue kama kuna jalada la upelezi hata moja lililofunguliwa
 
Ahaaa haaa haaa
If you show me just a single person who was convicted regarding the Musando death. Le me tell you, I'll never yap in here on issues of human rights.

Don't run away from the truth, Produce AZORY GWANDA and Saanane and many more. Unless you and your murdererous and callous Government is a butchermans Government.
 
Wakenya Hawa wapuuzi tu ndio maana mpaka vikosi vyetu vinaingia kwao na kuondoka na wash ukiwa wa ugaidi huku yenyewe yamekaa tu hayana mbele wala nyuma walijualo

Tanzania linapokuja kwenye suala la amani na usalama wa Nchi huwa haina masihara kabisa.
 
Akikujibu uni tag

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…